Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Amad Diallo welcome to the THEATER OF DREAMS
Sana kabisa.Man united ubingwa wake akijikaza
Ili iwe hivyo tunahitaji ushindi wa si chini ya goli 9Kesho Tukishinda game ya AstonVilla tunaongoza ligi..
Hatuta ongoza. Liver ametuzidi magoliKesho Tukishinda game ya AstonVilla tunaongoza ligi..
Hatuta ongoza. Liver ametuzidi magoli
Ili iwe hivyo tunahitaji ushindi wa si chini ya goli 9
Man U tungekuwa na kocha mzuri tungechukua ubingwa msimu huu!
Aaaah, km nani mkuuMan U tungekuwa na kocha mzuri tungechukua ubingwa msimu huu!
Woow...what a good news
Ndiotruee
Wameogopa kuondoka bureWoow...what a good news
Natania
Uongozi wa hii timu una ujinga mwingi sana
Anatosha torres mbona yupo paleBila mtu kama benteke pale mbele ubingwa kwetu ni vigumu.
Tukishindwa kabisa hii January tumchukue japo Islam Slimani pale leiceter and Andy Carol.
Goli 9. Tunnazifungaje over one match? Tunahiji atleast mechi 3 kufikia idad hiyo ya magoli. Otherwise hatuendi mahaliTUTAONGOZA LIGI* kama tukifunga magoli mengi
Muingereza huyu mkuu ...Woow...what a good news
Natania
Uongozi wa hii timu una ujinga mwingi sana