ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 18,685
- 24,708
Tuna game tatu za nguvu tukianzia kesho
Tuna game tatu za nguvu tukianzia kesho
Tuna game tatu za nguvu tukianzia kesho
Henderson hapo si sawa kabisa.Bonge la timu hiliView attachment 1656757
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hahahaha mkuu pale mbele tukiuza martial tukamchukua benteke tunabeba EPL febr
Sauti ya kukata tamaa hii [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]NYUMBU ni NYUMBU tu maisha yake yote na hawezi kubadilika.
Sauti ya kukata tamaa hii [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]Unasema [emoji14][emoji14]View attachment 1657029
Hiyo timu itacheza bila DM ?Toa Henderson weka Pogba , GGMU
Hiyo timu itacheza bila DM ?Toa Henderson weka Pogba , GGMU
Anaweza kufikia record ya kufunga goli nyingi zaidi au kuwa na appearance nyingi zaidi★Mimi mwenyewe nimestuka sana nikasema huenda nimekunywa Chai muda umeenda sielewi alichoongea [emoji23]★
[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1657031
Punda kama punda..[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]sisi kama sisi watatuelewa tu View attachment 1655911
Mimi ni UTD FAN hii picha hua inanichekesha Sana [emoji3][emoji3][emoji3]Unasema [emoji14][emoji14]View attachment 1657029
Huyo ndo Papaa Gx kwenye ubora wake, yn picha zake mbili hzo hzo anaweza akazipost hzo hzo mpk kuna kucha [emoji3][emoji3][emoji3]Mimi ni UTD FAN hii picha hua inanichekesha Sana [emoji3][emoji3][emoji3]
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3] ushabiki ukiwa na hasira hutauweza aiseeHuyo ndo papaa gx kwenye ubora wake, yn picha zake mbili hzo hzo anaweza akazipost hzo hzo mpk kuna kucha [emoji3][emoji3][emoji3]
Ole anatakiwa aumize ndonga kwa Klop, maana kinyume chetu simuoni wa kumzuia.
Ili tuwe na uhakika wa ubingwa tunahitaji tumchinje Jogoo.
Na Jogoo kwa sasa kaota meno, ana ng'ata kinoma.
Kwa hiyo Sorkjaer anatakiwa aumize ndonga ni silaa gani ya kutumia kumdhibiti jogoo.
Nina uhakika tukimla Jogoo na kummaliza tayari tutakua na afya ya kuchukua mwali.