Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

#GGMU

manutd |
IMG_20201222_121253_197.jpeg
 
Kuna watu wanapenda wakija hapa wasikie analaumiwa solskjaer na wachezaj kisha tunamalizia hatuna timu hapa basi wanafurahi wakiona mmepost timu ambayo wao wanategemea itawafunga kisha nyie mkasema tunashinda wanaziita taarabu hayo maumivu ni yenu sisi hayatuhusu kila mmoja aumie na timu yake sio unabeba stress za timu yako na timu nyingine utakufa mimi nabeba stress za timu yangu sina habar na timu zilizo nje ya manchester united

1. Watu wa sampuli hizi hawajui kama mpira ni tambo na maneno ya kibabe hakuna mshabiki mnyonge kwenye timu yake ikitokea mpinzani kashinda basi hilo jambo lingine

Ila hapa unyonge mwiko mimi ni manchester united na najivunia kuwa mshabiki wa manchester united kila kitu timu ilichoshiriki imebeba kwa nini nijutie?
Asante sana Mkuu kwa kuwachana hawa watu....Wanazingua sana
 
My Starting XI vs Everton

De Gea

AWB Lindelof Maguire Shaw

Fernandes Fred Pogba

Greenwood Martial Rashford
Ukiacha zile hold-up anazotengeneza Martial, finishing yake haiko vizuri msimu huu. Japo Rashford nae sio complete no.9 ila natamani ndo aongoze pale kati. French boy atokee left.....Kikosi kiko sawa ila Everton wana kasi, ole anaweza mweka scoty na fred pale dimba la kati...Paul akaanzia bench
 
Scott alitolewa juzi..nadhani aliumia..i don't think atakuwa fit
 
Back
Top Bottom