Man utd#tumewashaaaaaa
Huyu jamaa hana kazi zingine za kufanya ?
Mkuu Labda timu zingine zihamishwe ligiNinacho Shukuru ni kwamba, leo nimelipa lile deni alilokua akinidai Tottenham.
Harufu ya ubingwa itapasua pua yangu.
tulia wewe, muda siyo mrefu tunampumulia jogoo matakoniMkuu Labda timu zingine zihamishwe ligi

We kweli kitombise yaan kitu kidogo tu mmeshindwa kupata point 1 kwenye games 2 ili ziwawezeshe mfuzu kwenda hatua ya 16 ndo utegemee under ole mchukue ubingwa....hizo timu zingine zimekufa autulia wewe, muda siyo mrefu tunampumulia jogoo matakoni
Utd tunamkimbiza mwizi kimya kimya, mpaka Sasa endapo tunashinda kiporo gap letu na wanaoongoza litakuwa two points !!!
Guys we really need this consistency,,,,!!!!
Kwenye top 6 inawezekana utd ndio ilikuwa most underrated lakini kibao kimegeuka,,,
Tulianza msimu ovyo sana , mpaka arsenal wakaja na Tambo kwamba wao Ni tittle contenders ,,,,!¡!!
Bado hatujafika hatua ya kujiita title contenders, but we are almost there , tuendelee na hii form then January mwishoni tutaongea mengine !!
Ole at the wheel
#GGMU
Hicho sio kipimo na huwezi ukapata majawabu kwa mtindo huo ina maana liverpool kupigwa 7 na aston villa kwamba liverpool ni timu mbovu?We kweli kitombise yaan kitu kidogo tu mmeshindwa kupata point 1 kwenye games 2 ili ziwawezeshe mfuzu kwenda hatua ya 16 ndo utegemee under ole mchukue ubingwa....hizo timu zingine zimekufa au
hakuna timu ya kuifunga manchester united pale wakijitahidi suluhu spurs kafungwa na basi lake mourinhoMkuu hii consistency inaisha weekend tu hapo na Leicester mark my words
Leicester hata awe form vp hawezi mfunga utd mkuu !!!!!Mkuu hii consistency inaisha weekend tu hapo na Leicester mark my words
Ngoja tumuue huyo mvaa blauz mwenzio ndio utaamini.Mkuu hii consistency inaisha weekend tu hapo na Leicester mark my words
Tatizo mshindani wa kweli kwa Bayern ameamua kuwa mfanyabiashara muuza wachezaji nje ya hapo sijaona kitu Bundesligamnawachukulia wajerumani poa sababu mnamuona Bayern ndiye bingwa kila msimu ila tambua kwamba hata Bayern apelekwe England atawasumbua kama anavyosumbua huko ujeruman
Ligi Uingereza inatimu zinazofanana viwango that's why inaonekana ni ligi ya ushindani
Ila umchukue huyo RB unaemuona poa atakuwa kama Liverpool anayeonekana bora uingereza
![]()