We jamaa huwa unanchekesha sn aisee, ww na papaa gx a.k.a mzee wa ban mnatabu sn [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Labda kuna ujumbe anaufikisha zaidi ya kilichoandikwa.
Maana sidhani kama kweli ana maanisha kwamba mngefunga goli 12 kisa tu kuna washabiki.
★Oooh hata mimi sijamwelewa vizuri maana kakomalia na sio Post ya Kwanza hii kusema hivyo 12-4 sijaelewa alimaanisha nini★
Wa wapi?Moises Caicedo..Nimemkubali huyu dogo..Tumsajili aisee.
In the near future tutakuwa na Talent nzuri za kutupigania.
Lini?My Starting XI vs Everton
De Gea
AWB Lindelof Maguire Shaw
Fernandes Fred Pogba
Greenwood Martial Rashford
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lingard★[emoji327] IG: When Bruno Fernandes has to leave for work [emoji24][emoji460]️[emoji837]...
Sasa kajitu kama Lingardinho mwanae akalilie [emoji23]★
#GGMU[emoji123][emoji41]
manutd | View attachment 1656920View attachment 1656921
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lingard
Kesho...23:00PM EATLini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hivi Lingard kaoa?★Hata mke hanaga shida anajua kanaenda kukaa benchi tu hakata umizwa Pitch [emoji23]★
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hivi Lingard kaoa?
Rashid si anakaa kwao?★Nazani kasogeza tu kama Ndugu ake rashid Makame★
Tunamgonga mtu wallahKesho...23:00PM EAT
Rashid si anakaa kwao?
Aisee★Yupo Ghetto afu kumbuka hao wazungu huenda Demu yupo ukweni★