Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ndio naamka sasa
IMG_20201221_090410.jpg
 
Hivi nikisema Mac Tomney ni Pau schools mpya nitakua nimekosea?
Bado sana mkuu tena sana scholes hata yale mapasi marefu anakupigia kitu ambacho scott hana Rooney na Scholes nilikuwa nainjoi sana upigaji wao wa pasi tunahitaji sana watu kama hawa
 
Japo tumeshinda ila leeds kufungwa magoli yale nimeionea huruma kweli!!

Kwa mlio fwatilia historia ya kocha wa Leeds (Biesla) mtanielewa!!
Alitusumbua sana na athletic bilbao mwaka 2010 kama sijakosea mi sijamuonea huruma solskjaer kakataa apigwe baba na mtoto kalipa zile goli 4 na ka chenji juu ander herrera na martinez walitukimbiza sana
 
Back
Top Bottom