John dillinger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 2,537
- 3,039
Eeeh haya ngoja niisave hii bora ungesema liverpool ...yaan united haaaaahaaaa duhhakuna timu ya kuifunga manchester united pale wakijitahidi suluhu spurs kafungwa na basi lake mourinho
Eeeh haya ngoja niisave hii bora ungesema liverpool ...yaan united haaaaahaaaa duhhakuna timu ya kuifunga manchester united pale wakijitahidi suluhu spurs kafungwa na basi lake mourinho
Haaahaaa poa mkuu kumbuka hata arsenyeto hata awe na fomu VP hajawahi kupata ushindi OT tangu 2006 ...lkn sasa the rest is history shukran KWA Paul pogbaLeicester hata awe form vp hawezi mfunga utd mkuu !!!!!
Hizi long range Pogba anazimudu sanaBado sana mkuu tena sana scholes hata yale mapasi marefu anakupigia kitu ambacho scott hana Rooney na Scholes nilikuwa nainjoi sana upigaji wao wa pasi tunahitaji sana watu kama hawa
TawireLeicester..
Wolves..
Hizi gemu inabidi tushinde by hooks and crooks
Si ulisema tumepigwa ?




Kwa faida yako tu mkuuEeeh haya ngoja niisave hii bora ungesema liverpool ...yaan united haaaaahaaaa duh
Anakosa mbinu timu ikibanwaNdio Ole ni kocha wa kawaida sana na hana Calliber ya kuifundisha UTD.. lkn anaonesha improvement, lets give him time and see.
Pogba pia anapiga kweli kabisa
Leicester hata awe form vp hawezi mfunga utd mkuu !!!!!
hakuna timu ya kuifunga manchester united pale wakijitahidi suluhu spurs kafungwa na basi lake mourinho
Huu woga utaisha lini kwani ile liverpool au manchester city? Hata kwenye makaratasi ushindi anapewa manchester united hawezi kupewa leicester city kamwe hamna cha taarabu hapo ila kama kila jambo kwako ni kubwa ndivyo akili yako inavyokuwaHizi taarabu ndio huwa zinawaponza
Rudi kwenye jukwaa lako la chelsea usiwapangie watu wenye timu yao jambo la kupost watu wanatakiwa kufurahia timu yao ikifungwa wanahuzunika sasa hata ikishinda unataka kuwafanya waishi kinyonge? Nenda kule acha watu wajimwage hapa tukifungwa tunahuzunika tukishinda tunafurahia kama zimekuuma zile 6 pole sanaNyie nao mmeanza taarabu kama Arsenal, dawa yenu iko jikoni. Nyie na Arsenal ni ndugu kabisa yaani mkianza kushinda shida baaaasi kelele na kejeli mnapenda sana
Huu woga utaisha lini kwani ile liverpool au manchester city? Hata kwenye makaratasi ushindi anapewa manchester united hawezi kupewa leicester city kamwe hamna cha taarabu hapo ila kama kila jambo kwako ni kubwa ndivyo akili yako inavyokuwa
Hizo hapo ni takwimu muwe mnafuatilia mambo kabla hamjaja kukosoa post za watu timu kushinda ni jambo lingineView attachment 1656752
Bonge la timu hiliView attachment 1656757
Fred mbona yupo rated low wakati alikuwa na tackles, recoveries nyingi zaidi na amegusa mipira mingi
Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app