Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Wewe ukitoaga prediksheni ndo mnapigwaga..My prediction EFL quarter finals
Everton 0-2 Manutd
No BTTS
U2.5
Mm nimemuelewa rashford ana nafasi ya kuwa legend wa timu umr wake unamruhusu hasa akijirekebisha ktk ufungaji na akawa na kiwango kizur muda anao sana tu kama hatoondokaAma kweli ulegend umepoteza thamani siku izi....
Lakini huyu dogo (Diallo) mbona huwa simuonigi akianza pale Atalanta?★Guardian | Amad Diallo has already spoken to Solskjær and is ready to start his adventure in England after five years with Atalanta.★
#GGMU
manutd | View attachment 1656932
Hapa ndipo Sorkjaer anapotakiwa kuonyesha kua anajua.
Ubingwa unauwaza wewe ulie nafasi ya 5.Duniani kuna vituko sana, hii NYUMBU nayo inawaza ubingwa
![]()
Ubingwa unauwaza wewe ulie nafasi ya 5.
Naona game na Wast ham imekupa kiburi sio?
My prediction EFL quarter finals
Everton 0-2 Manutd
No BTTS
U2.5
Uko nafasi ya 5 niko nafasi ya tatu, alafu unaniuliza nimekuzidi nini?Ww unanizidi nn kwenye hiyo nafasi?
We panzi shabiki wa timu gani kwanza.Duniani kuna vituko sana, hii NYUMBU nayo inawaza ubingwa
![]()
Tuliza Tekno hiyo. Halafu utoke kwa dada yako sasa.Mashabiki wa man U wengi ni waimba taarabu
Jamaa anakwambia ananusa ubingwa.....haaaahaaaaDuniani kuna vituko sana, hii NYUMBU nayo inawaza ubingwa
![]()