WAIKORU
JF-Expert Member
- Dec 9, 2015
- 1,588
- 2,463
mnawachukulia wajerumani poa sababu mnamuona Bayern ndiye bingwa kila msimu ila tambua kwamba hata Bayern apelekwe England atawasumbua kama anavyosumbua huko ujeruman
Ligi Uingereza inatimu zinazofanana viwango that's why inaonekana ni ligi ya ushindani
Ila umchukue huyo RB unaemuona poa atakuwa kama Liverpool anayeonekana bora uingereza🚮
🚶🚶🚶
Hivi kweli bro, Unalinganisha Liverpool na Rb leipzig?...serious?mnawachukulia wajerumani poa sababu mnamuona Bayern ndiye bingwa kila msimu ila tambua kwamba hata Bayern apelekwe England atawasumbua kama anavyosumbua huko ujeruman
Ligi Uingereza inatimu zinazofanana viwango that's why inaonekana ni ligi ya ushindani
Ila umchukue huyo RB unaemuona poa atakuwa kama Liverpool anayeonekana bora uingereza🚮
🚶🚶🚶
Hata kama huipend Liver ,tafadhali tupe heshima tunayostahili,..
Ujue sie ndo mabingwa watetezi...na msimu huu ni wetu....
We na pundamilia yako subiria huko 2022/202023 Angalau utaambulia chochote...but his deason is ours,..period

kwa raha zako