Hapana, badoHivi nikisema Mac Tomney ni Pau schools mpya nitakua nimekosea?
Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
Hapana, badoHivi nikisema Mac Tomney ni Pau schools mpya nitakua nimekosea?
Mtoto mzuri we, hua unajifichaga wapi?
Nili kumiss week za karibuni.
★
Chansi nyingi tumepoteza..lakini nimefurahia sana ushindi
McSouce man of the match IMO
Cavani come'on martial atajifunza nini kwako?..
GGMU
Uzi wa likes ndo home sweet home kwa JF
Martial amepoteza composure kabisa mbele ya goli..
Lakini i have to admit that Martial akiwepo mbele hold up play na link up play zake zinasaidia sana.
But french boy amepoteza uwezo wa kufunga kabisa this season.
Tunamuombea Arsenal asishuke daraja..![]()








Nyie lazima muwe mabingwa mkuu. Amini kwambaIla anayefungwa na Everton atabeba ndoo ?
Unabetije wakati unachimba madini wewe ..acha ufalaaAfadhali.
Chama langu teteeni mkashoo wangu.



Hadi wewe unasifia leo....Aise.....sema hili jukwaa unalipenda sanaWazee siku hizi naona mnapiga sita sita tu ..hongereni kutamba kwa zamu. Ni zamu yenu sasa
#CFC![]()