radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Angeanza na crystal palaceWakuu tufukuze Ole tumchukue Roy Hodgson, EPL anatupa babu yule kama Fergie
Angeanza na crystal palaceWakuu tufukuze Ole tumchukue Roy Hodgson, EPL anatupa babu yule kama Fergie
hiyo harufu mpaka anfield na stamford bridge wameanza kuisikia ndo mana wanatuombea mabayaMe kuna harufu ya ubingwa naipata hapa.
Yani ubingwa una nukia kama pilau.
hiyo harufu mpaka anfield na stamford bridge wameanza kuisikia ndo mana wanatuombea mabaya
ila wewe jamaa ni takatakaAliingia top 4 toka ligi ianze?
Huyu mtoto asipokuwa na tabia za kina pogba, martial na rashford za kuvimba vimba basi atafika mbali.
We jamaa huwa unanchekesha sn aisee, ww na papaa gx a.k.a mzee wa ban mnatabu snWakuu tufukuze Ole tumchukue Roy Hodgson, EPL anatupa babu yule kama Fergie




Manutd 4 - 2 Leeds utasubiri sanaNitakuwa hapa kushuhudia mnavyo pasuliwa.
Mkuu ndo namviziaga hapo Man u kwenye betting afu naweka mkeka wa maana.Match Kama hizi za kushinda ili uingie kilelen huwa zinamshinda sana ole
Hapo ndio utaona umhimu wa kocha wazoefu