Mkwanja unamhusu
IMG_20201206_075018_534.jpg
 
Amin amin nawaambieni hakuna jambo zuri kama faraja iwe kwa mgonjwa au mtu alie fungwa jela maana kuna tabia mtu akiwa penye hali hiyo basi siku za mwanzo watu huja sana kisha hupotea kwa dhati nawaombeni ndugu zangu mkipata nafasi basi mwende mkamfariji ndugu yetu arsenal hali anayopitia ni ngumu sana.
 
Mkuu huu ushindi kwa come back sio salama

Ni rekodi... SAWA

Lakini ni meaningless rekodi

Kuna muda/kipindi huu utaratibu utatu cost, na kwa mbaaaali ninahisi utatu cost UCL

Ole anashinda kubwa sana kwenye kufanya team selection (siku hizi kwenye hilo eneo ana improve) na sub
hivi mkuu unajua leo tumeeka record ya Epl? mechi 5 mfululizo comeback tunafanya, tunafungwa sisi tunafanya sub anaeingia analeta impact timu inashinda, unasema vipi ole hajui kufanya sub? huo ushindi unatoka wapi?
 
Mkuu huu ushindi kwa come back sio salama

Ni rekodi... SAWA

Lakini ni meaningless rekodi

Kuna muda/kipindi huu utaratibu utatu cost, na kwa mbaaaali ninahisi utatu cost UCL

Ole anashinda kubwa sana kwenye kufanya team selection (siku hizi kwenye hilo eneo ana improve) na sub
Still bado ni confidence kwa wachezaji hatakama wakifungwa wanaimani watarudisha,I see there is +ve spirit (fighting spirit among players is coming back sijui aliwaambia nini half time).

**I believe Ole hajawaambia wawewanafungwa kwanza.

Naungana na Chief Mkwawa (good things take time)

Wape salam zao,A sleeping giant is awaken.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Niliwahi kusema Ole anaonekana ni mzuri sana kwenye hamasa, kuweka spirit ya ku fight... Nikasema ndio maana huwa tunashinda zaidi mechi kubwa

Lakini kwenye suala la mbinu ni average coach

Ole huu ni mwaka wake wa 2 huu, sijui muda tunaosema apewe ni upi huo

Last season and this season naona kuna utofauti yet league haijaisha.

It seems Ole is unlikable tu.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Telling ball ile yaani mpira wenyewe unakuelekeza uupeleke wapi! sijui kwa nini tunakuwa kama tractor mpaka lichanganye muda umekwenda.
2nd half ukiangalia unasema hii timu inaenda kubeba EPL asubuhi na mapema..lakini ukirejelea ile 1st half unabaki umeduaa..Na hii ndo shida ya United hii ya Ole..You don't know what you gonna get with this team really..Tuna kikosi kizuri kushinda vyote toka zama za mwisho za fergie na post fergie..

Imagine..tunaanza na Scot,Pogba,na VdB kwenye mid huku Fred,Matic na Fernandes wakiwa hawapo..

Ole inabidi a-up his game msimu huu tufanye kitu..It's always look like Fernandes team

Next game ya UCL ni real big test ya utimamu wetu msimu huu..
 
Mapunda kama Mapunda...
Angalieni tunavyozibua timu mitaro..
Round ya pili mnaeza tapishwa bao tano.
#CFC
 
Mkuu huu ushindi kwa come back sio salama

Ni rekodi... SAWA

Lakini ni meaningless rekodi

Kuna muda/kipindi huu utaratibu utatu cost, na kwa mbaaaali ninahisi utatu cost UCL

Ole anashinda kubwa sana kwenye kufanya team selection (siku hizi kwenye hilo eneo ana improve) na sub
Ni sawa si ushindi salama, ila atleast ni point kwamba anajua kufanya sub
 
Back
Top Bottom