Manchester United (Red Devils) | Special Thread

I'm happy for the win lakini naona bado tunasafari ndefu kama timu ushindi wa goli tatu kwa mtu ambaye hajaangalia mpira anaweza kuhisi tulikuwa bora sana lkn sivyo..Bruno na Rashford waliongeza uhai kwenye timu baada ya kuingia lkn my special credits goes to Aaron Wan Bissaka huyu mwamba huwa anapiga kazi sana lakini haimbwi..Leipzig nilikuwa nawachungilia wakiwa wanacheza na Bayern aisee tuna kamlima karefu kdg kwa hawa jamaa..
 
2nd goal. Greenwood
1607197484635.gif
 
Aje na hoja tu sio kelele..
Na pia Ole kwenye sub hatulii kabisaa
tena ana watu wake
Mfano;
Martial msimu uliopita alikuwa form sanaa ila now kadrop... mzee wangu ole anakomaa nae utafikiri ndo mzizi wetu wakati una mashine ya kazi Edcavan nje
kaangalie comments zilizopita walioponda ole kumbakisha pogba, na i swear pogba asingefunga leo na mechi ikaisha tumefungwa tayari mbuzi wa kafara wangetafutwa. hivi mkuu tuna mechi muhimu ya kudefine season inakuja, does it matter nani anacheza na nani yupo nje?

mfano huyo cavani angekua kaumia pia mngemtukana ole kamchezesha mpaka kaumia na tuna mechi muhimu inakuja.
 
Greenwood ni straiker kiwango cha halaand kabisa... semaa kocha naona anaishindwa kumtrain na kumtumia vizuri tu
nyie jamaa aisee, umewahi kuona wapi timu ya Epl mtoto kama greenwood anaongoza line? last time Rooney kutumika kama Hivyo walimvunja miguu mara mbili.

kabla ya mimi na wewe kumjua greenwood anafanya nini, martial na rashford wapo kwenye form tumempiga 4 chelsea, ole kwenye press conference akasema hajawahi kuona finisher mzuri kushinda greenwood, akimsifia kama mmaliziaji bora kwenye kikosi chake. na akampanga tukaona anafanya nini.

so far yupo safe kule kulia, greenwood akianza katikati defenders wanaweza haribu career yake mapema tu.
 
kaangalie comments zilizopita walioponda ole kumbakisha pogba, na i swear pogba asingefunga leo na mechi ikaisha tumefungwa tayari mbuzi wa kafara wangetafutwa. hivi mkuu tuna mechi muhimu ya kudefine season inakuja, does it matter nani anacheza na nani yupo nje?

mfano huyo cavani angekua kaumia pia mngemtukana ole kamchezesha mpaka kaumia na tuna mechi muhimu inakuja.
Mkuu kazi ya kocha ni kujua mtu leo yupo form au la...
sub za ole zinatukosti sanaa
kwa sasa huwezi nielewa tungojee UEFA ndo tutakumbuka magori ya martial siku ile...
 
nyie jamaa aisee, umewahi kuona wapi timu ya Epl mtoto kama greenwood anaongoza line? last time Rooney kutumika kama Hivyo walimvunja miguu mara mbili.

kabla ya mimi na wewe kumjua greenwood anafanya nini, martial na rashford wapo kwenye form tumempiga 4 chelsea, ole kwenye press conference akasema hajawahi kuona finisher mzuri kushinda greenwood, akimsifia kama mmaliziaji bora kwenye kikosi chake. na akampanga tukaona anafanya nini.

so far yupo safe kule kulia, greenwood akianza katikati defenders wanaweza haribu career yake mapema tu.
Nimekuelewa mkuu 👏
 
Mkuu kazi ya kocha ni kujua mtu leo yupo form au la...
sub za ole zinatukosti sanaa
kwa sasa huwezi nielewa tungojee UEFA ndo tutakumbuka magori ya martial siku ile...
hivi mkuu unajua leo tumeeka record ya Epl? mechi 5 mfululizo comeback tunafanya, tunafungwa sisi tunafanya sub anaeingia analeta impact timu inashinda, unasema vipi ole hajui kufanya sub? huo ushindi unatoka wapi?
 
Sub za kocha hazieleweki anatumia kigezo gani...
Ila Point yangu kuna muda unaona mtu anafaa kutoka lakin unakuta anabaki anakuja kutoka mwingine kabisaa na unakuta yupo form...
Ukitaka kumuamin gemu ikiwa inaendelea soma comments za watu kwenye page ya ManU
 
ndio maana hao watu hawajaajiriwa kuwa makocha mkuu, sisi hatujui lolote linaloendelea dressing room, kocha na waachezaji ndio wanafahamu.
 
Sub za kocha hazieleweki anatumia kigezo gani...
Ila Point yangu kuna muda unaona mtu anafaa kutoka lakin unakuta anabaki anakuja kutoka mwingine kabisaa na unakuta yupo form...
Ukitaka kumuamin gemu ikiwa inaendelea soma comments za watu kwenye page ya ManU
na kuongezea stats (sijui kama ni za kweli) man city miaka 25 iliopita wameshinda mara 1 tu wakiwa wameenda Half time huku wamefungwa, kwao comeback ni jambo gumu sana, ila sisi ni jambo la kawaida sana.
 
nyie jamaa aisee, umewahi kuona wapi timu ya Epl mtoto kama greenwood anaongoza line? last time Rooney kutumika kama Hivyo walimvunja miguu mara mbili.

kabla ya mimi na wewe kumjua greenwood anafanya nini, martial na rashford wapo kwenye form tumempiga 4 chelsea, ole kwenye press conference akasema hajawahi kuona finisher mzuri kushinda greenwood, akimsifia kama mmaliziaji bora kwenye kikosi chake. na akampanga tukaona anafanya nini.

so far yupo safe kule kulia, greenwood akianza katikati defenders wanaweza haribu career yake mapema tu.
100%
 
Back
Top Bottom