Ole akishinda sifa kwa wachezaji akifungwa uwezo mdogo wa kocha hahahaaDah! Kuanzia leo simuzomei Bruno hata afulie asee Jamaa katurudisha mchezoni
Ole ifike muda awe kocha sio mbahatishaji Sub gani hizo sasa.
Shukuru wachezaji wamekuokoa
Ole anaokolewa na form za wachezaji.Dah! Kuanzia leo simuzomei Bruno hata afulie asee Jamaa katurudisha mchezoni
Ole ifike muda awe kocha sio mbahatishaji Sub gani hizo sasa.
Shukuru wachezaji wamekuokoa
2nd goal?1st goal. PogbaView attachment 1642545
Ngoja akusikie Chief-Mkwawa [emoji2][emoji2][emoji2]Now ni wakati wa kumpa Cavan nafasi martial atulie ajifunze ukichek magori yote tumefunga baada ya yeye kutoka maan alikuwa anatia gundu tu
Greenwood ni mzuri sanaa kuliko Martial akikaaa 9
Na wangekula 4 kama sio lile goal alikosa Rashy.west ham hawajawahi kufungwa tatu msimu huu.
EPL table inaanza kujipanga sasa[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]View attachment 1642578
Aje na hoja tu sio kelele..Ngoja akusikie Chifu-mkwawa [emoji2][emoji2][emoji2]
Watoto walitusumbua sana mwanzoni😂EPL table inaanza kujipanga sasa
Where is Arsenal [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]View attachment 1642578
Watu walianza kumpa ubingwa Everton..I was like WTFWatoto walitusumbua sana mwanzoni[emoji23]
Greenwood ni straiker kiwango cha halaand kabisa... semaa kocha naona anaishindwa kumtrain na kumtumia vizuri tuIle first touch and turn ya greenwood mpaka kafunga ya kinyama Sana. GGMU
Na kesho Mourinho atawapigia mpira wa kiuni mpaka wakome..washuke hadi relegation zoneWhere is Arsenal [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Na kloop naye alijichanganya humo akadai mpinzani wake ni everton..Watu walianza kumpa ubingwa Everton..I was like WTF