Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

★Marcus Rashford’s game by numbers vs. West Ham (51 minutes)

94% pass accuracy
4 shots (all inside the box)
3 successful take-ons
3 ball recoveries
1 goal★

#GGMU

manutd |
IMG_20201205_232536_824.jpeg
 
conversion rate bado ni tatizo kwetu, washambuliaji wetu mara kwa mara wamekuwa wakikosa umakini.
mechi ya west bromwich, bruno fernandez alitengeneza nafasi 6 za magoli lakini hakuna hata nafasi moja iliotumiwa vizuri.
==== ===

kwa mujibu wa statman dave:
Bruno Fernandes created 8 chances from open play vs. West Ham, the most any player has created in a Premier League game this season. He came on at half-time.

ok ile rashford iliyogonga mwamba tunaweza kusema ni bahati mbaya.
lakini zile nafasi mbili za wazi alizozitupa greenwood bado hazijanitoka kwenye ubongo wangu, sielewi kwa nini yule mjinga alikosa utulivu
=======
jaalia tottenham wangelifanikiwa kumsajili bruno kipindi walichoshindwa kuafikiana bei ya dyabala, manchester united tungelikuwa wapi?
 
  1. Manchester United have won more points in the Premier League since Bruno Fernandes made his debut (51) than any other team.
  2. Since his debut in February, Bruno Fernandes has been directly involved in 36 goals in 38 games in all competitions for Man Utd (22 goals, 14 assists) – five more than any other Premier League player in this period.
 
Kusema ukweli ukiweka mahaba kando, hatufiki popote timu ikiendelea kuwa chini ya Ole. Ni mwalimu wa soka mwenye uwezo mdogo sana.

Narudia tena kusema, timu yetu inaokolewa na uwezo binafsi wa wachezaji na sio mbinu za mwalimu.

Tumekuwa tukifungwa magoli ya kimakosa yale yale yanayojirudia, huyu Ole ana-train nini huko mazoezini? Hili goli la Westham ni carbon copy ya goli lile lile la Southampton wiki iliyopita.

Kama Ed anamuelewa sana Ole basi aajiri specialist tactics coach wa kumpa msaada Ole. Wale wasaidizi wake watatu wakiongozwa na Mike Phelan sioni ubunifu wao.
 
Mechi ya leo kati ya West Ham United na Manchester United, inatarajiwa yafuatayo yatatokea:

1. Manchester United itashinda.
2. Manchester United watapewa Penati / Mchezaji wa West Ham United atapewa kadi nyekundu / Goli la West Ham United litakaliwa kwa VAR au bila VAR.

Mechi ya West Ham United na Manchester United, yafuatayo yalitokea:

1. Manchester United ilishinda.
2. Manchester United watapewa Penati / Mchezaji wa West Ham United atapewa kadi nyekundu / Goli la West Ham United lilikataliwa kwa VAR au bila VAR.

Pana maelezo ya kisayansi ya kwa nini iliwezekana kutarajia hayo kutokea, na yakatokea.
 
Kusema ukweli ukiweka mahaba kando, hatufiki popote timu ikiendelea kuwa chini ya Ole. Ni mwalimu wa soka mwenye uwezo mdogo sana.

Narudia tena kusema, timu yetu inaokolewa na uwezo binafsi wa wachezaji na sio mbinu za mwalimu.

Tumekuwa tukifungwa magoli ya kimakosa yale yale yanayojirudia, huyu Ole ana-train nini huko mazoezini? Hili goli la Westham ni carbon copy ya goli lile lile la Southampton wiki iliyopita.

Kama Ed anamuelewa sana Ole basi aajiri specialist tactics coach wa kumpa msaada Ole. Wale wasaidizi wake watatu wakiongozwa na Mike Phelan sioni ubunifu wao.
Nakubaliana na wewe kwenye kutafuta tactical technician wale kina Carrick na McKenna naona hata hawana la kumshauri Ole..

Jana Westham wangetumia nafasi zao za first half hii gemu tungelala..

Tunafungwa magoli yaleyale kila siku
 
Back
Top Bottom