Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,415
- 27,291
Siku ya game ya UEFA baada half time wamelud uwanjan camera zote kwa fred.. walikuwa wanajua huyu Nyekundu inamhusu.. ilibid awe benchiKusema ukweli ukiweka mahaba kando, hatufiki popote timu ikiendelea kuwa chini ya Ole. Ni mwalimu wa soka mwenye uwezo mdogo sana.
Narudia tena kusema, timu yetu inaokolewa na uwezo binafsi wa wachezaji na sio mbinu za mwalimu.
Tumekuwa tukifungwa magoli ya kimakosa yale yale yanayojirudia, huyu Ole ana-train nini huko mazoezini? Hili goli la Westham ni carbon copy ya goli lile lile la Southampton wiki iliyopita.
Kama Ed anamuelewa sana Ole basi aajiri specialist tactics coach wa kumpa msaada Ole. Wale wasaidizi wake watatu wakiongozwa na Mike Phelan sioni ubunifu wao.
Muda huo ole wangu kabet tu kamaa jamaa hatoki na red


FT |
️ Soucek - 38'


This title race could get very interesting
★