Manchester United (Red Devils) | Special Thread

mechi ya kesho dhidi ya west ham itachezwa muda gani?
hii ratiba niliyoiangalia inasema ni saa 11:30 na mechi ya chelsea ni saa 2:30.

nimesikiliza redio fulani wanasema mechi ya chelsea ni saa 5 usiku.
kama mechi ya chelsea ni saa 5 usiku basi mechi ya man utd ni saa 2:30 usiku.

nahitaji jawabu sahihi
 
Paragraph ya pili ndo sahihi.
 
Timu imejaa wabaguzi wa rangi kama wakina cavan..acha mliwe tu pumbavu

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Kilichotokea kwa Cavani ni muingiliano tu wa lugha na tafsiri ya maneno. Kwa mfano hapa bongo unaweza kumuita demu mweusi kwa kutumia neno "Cheusi" au mtu mweupe kwa kumuita "White" na isiwe shida. Ila kwa nchi zenye matukio mengi ya ubaguzi wa rangi maneno kama haya lazima yalete mkanganyiko.

Ila kwakuwa wewe ni hater, naomba tu kujua unateseka ukiwa pande zipi? 😁
 
Ole intray
IMG_20201204_134341_353.jpg
 
★McTominay on PSG: “They fall too easily. You can see, can’t you? It’s not football whenever teams play like that. The reaction of their players is [shakes head]… I’ve got nothing to say about that, you get in trouble if you start speaking about that and the referee.”★

#GGMU

manutd |
 
Kilichotokea kwa Cavani ni muingiliano tu wa lugha na tafsiri ya maneno. Kwa mfano hapa bongo unaweza kumuita demu mweusi kwa kutumia neno "Cheusi" au mtu mweupe kwa kumuita "White" na isiwe shida. Ila kwa nchi zenye matukio mengi ya ubaguzi wa rangi maneno kama haya lazima yalete mkanganyiko.

Ila kwakuwa wewe ni hater, naomba tu kujua unateseka ukiwa pande zipi?
Kiufupi Cavan ni rasist na ataicost manure Hadi mje shtuka mtakuwa na adhabu za kutosha.

Back
Top Bottom