Naona kashinda njaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Manchester United anashinda.
Angalia hili litakataka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Liverpool, Chelsea na ....nikiwachapa ubinhwa njenje
Eee mmeshinda 1-3[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anashinda 2-1
Hahaha ikawaje mkaliwa nyie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]GGMU
Wakuu vipi mmeingia baridi nini?
Hawa wanamitindo wa Paris tunawala vichwa leo?
Kama ulijua vile ..utakuwa na viashiria vya kichawi mkuu[emoji3][emoji3][emoji3]Fred angepumzishwa naiona red card ikimnyemelea
Ndiwoooooooooooo[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Kuna uwezekano sasa tukaongezwa na goli moja
Huu msimu ulikuwa wa United kubeba UCL au kufika fainali.