Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

★Watetezi wa huyu Mtoto Martial mteteeni na leo sasa yani hapa na hapa kweli View attachment 1640384
Kocha mwingine angekuwa anampiga bench
Screenshot_2020-12-03-00-20-15-094_com.twitter.android.jpg
 
Habari zenu mashetani nawasimu kwa jina la Anthony Martial mnyama mchezaji asiyetambua umuhimu wa kufunga ,deschamps anatafuta mrithi wa Maetro Giroud kila akimwangalia Martial anajiuliza anachezaji ushetanini
 
Mbona mnakata tamaa kizembe hivyo? Man u ya ferg ilikuwa bora sana na bado ilifungwa sembuse ya ole, kumbuka mechi inakuwa DO OR DIE hapo yeyote anafungwa ila man u nampa nafasi ya kushinda, kumbuka man u anahitaji sare tu
Wale watukutu wa ujerumani hawatatuacha salama
 
Mpira ndivyo ulivyo mkuu, game ya Leo kocha kawaangusha, PSG haikuwa timu ya kuwafunga leo.

Kama angefanya sub mapema ya Fred, ninaamini mngekaza hata kutoa sare ambayo ingekuwa nzuri sana kwenu.

Hapo mnaenda kutafuta sare ugenini, itakuwa game ngumu sana. Lakini naona mtapita kwa mtazamo wangu.
Na kuna uwezekano mkubwa wa kupangiwa Barca su Bayern mtoano.......
 
bado tunahitaji nafasi ya kwanza ila kufungwa goli 3 na paris kumenivunja moyo sana.
unajua uingereza team tatu zimefuzu nafasi ya kwanza, ikitokezea tumeshika nafasi ya pili mara tunachanganywa waingereza watupu kwenye mechi moja ya mtoano.

wasiwasi wangu ndio huo
Hapana mkuu
Mtoano hatuwezi cheza na timu za EPL ni kuanzia robo fainali
Tutapangwa na Barca au Bayern
 
@Chief Mkwawa atafutwe kokote alipo aletwe hapa mara moja..Kidding

Nilikuwa shabiki mkubwa wa Martial lakini kwa sasa i'm sick tired of him..kajamaa kanakera sana
Kuna haja ya kuanzisha mchango wa kuwanunulia Paracetamol?
 
Back
Top Bottom