OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Europaaaa inawavuta shatidah hili goli la 3 mathematically ni baya sana, tukifungana point na psg out.





Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Europaaaa inawavuta shatidah hili goli la 3 mathematically ni baya sana, tukifungana point na psg out.





Jiue mkuu★daaah ncheka kama mazuri tulaleni tutachambua kesho nahasira vibaya sana★




Leipzig hawatotuangusha tuna imani nao.UEFA CHAMPIONS LEAGUE is not made to be played by Poor Manager like OLE.
EUROPALEAGUE is good for their level .
Leipzig come on.
Man utd hapotezi game ya RB.....ila sosha useng.e wake wa kutupangia masho anazngua sana
Huu msimu ulikuwa wa United kubeba UCL au kufika fainali.
United ipiHuu msimu ulikuwa wa United kubeba UCL au kufika fainali.



Afukuzwi mkuu yupo sanaaAnafukuzwa lini huyu sosha
Mechi ijayo hautoboi RB atakufa na weweHili group tunatoka kizembe, ngoja tusubiri miujiza mechi ijayo.
Anafukuzwa lini huyu sosha
@Ollachuga Oc yupo zaidi kwenye uzi wa Man u kuliko wa chelsea.Timu imejaa wabaguzi wa rangi kama wakina cavan..acha mliwe tu pumbavu
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Huna akili wewe kiazi.Timu imejaa wabaguzi wa rangi kama wakina cavan..acha mliwe tu pumbavu
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Mwache tu kila kifo kina sababu yake, mwenzake Mourinho tulimwambia aachane na Fallaini akabisha mwishowe akamfukuzisha kazi, uyu naye we ngojeni muone.Kocha mwingine angekuwa anampiga benchView attachment 1640452