OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Tuna imani na Leipzig watatupelekea lijitu EuropaNina imani sana na RB Leipzig hapo watakaza mpaka jasho la mwisho.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Tuna imani na Leipzig watatupelekea lijitu EuropaNina imani sana na RB Leipzig hapo watakaza mpaka jasho la mwisho.

Hata morinyo aliambiwa ivi ivi★Ed Woodward has backed Ole Gunnar Solskjaer, saying the club will support a "planned, long-term approach to recruitment in the summer windows"★
#GGMU
manutd |View attachment 1641627

★
Hata morinyo aliambiwa ivi ivi

PUNDA la wapi?
mechi ya kesho dhidi ya west ham itachezwa muda gani?
hii ratiba niliyoiangalia inasema ni saa 11:30 na mechi ya chelsea ni saa 2:30.
nimesikiliza redio fulani wanasema mechi ya chelsea ni saa 5 usiku.
kama mechi ya chelsea ni saa 5 usiku basi mechi ya man utd ni saa 2:30 usiku.
nahitaji jawabu sahihi
According to LiveScore game yetu saa 2:30.mechi ya kesho dhidi ya west ham itachezwa muda gani?
hii ratiba niliyoiangalia inasema ni saa 11:30 na mechi ya chelsea ni saa 2:30.
nimesikiliza redio fulani wanasema mechi ya chelsea ni saa 5 usiku.
kama mechi ya chelsea ni saa 5 usiku basi mechi ya man utd ni saa 2:30 usiku.
nahitaji jawabu sahihi
Na mechi 1 mkononiTunaweza kuingia top 4 leo