Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

barcelona
real madrid
psg
sevilla

hizi team ikitokezea zimetufunga tena kwenye mechi mbili za mtoano basi nitafikiria kutafuta starehe nyengine(mpira nitaacha)
achana na kelele za wapinzani sisi tuna team kubwa ila hatujijui ya kwamba tuna timu kubwa.
Na uwezekano wa kutufunga tena upo mkuu labda Sevilla mana ile game ya Europa tulikosa magoli kibao tukafungwa
 
barcelona
real madrid
psg
sevilla

hizi team ikitokezea zimetufunga tena kwenye mechi mbili za mtoano basi nitafikiria kutafuta starehe nyengine(mpira nitaacha)
achana na kelele za wapinzani sisi tuna team kubwa ila hatujijui ya kwamba tuna timu kubwa.
Well said ila labda kocha asiwe Solskjaer!!
Hivi game ya leo dhidi ya PSG kulikuwa na ulazima wowote wa Fred kurudi uwanjani second half???

NB: Halafu hapo bench alikuwa na sub 5.
 
★Basi sisi tunasepa na site yako

Update:

Nimerudi kusoma tena mkuu, Man Utd yuko sahihi kuongoza kundi. Assumption yangu ilibase kwenye timu mbili, ila hapo ziko tatu ziko tied up. Nilikurupuka.

Soma hapo chini:
According to UEFA, if tied on points, the following tiebreaking criteria are applied:

1. higher number of points obtained in the group matches played among the teams in question.

2. superior goal difference from the group matches played among the teams in question.

3. higher number of goals scored in the group matches played among the teams in question.

4. higher number of goals scored away from home in the group matches played among the teams in question.

So, kwa hizo timu zilizo tie, Man Utd ana:
6 points btn the 3 teams na goal difference ya 4 (5 - 0 vs Leipzig, 2 - 1 na 1 - 3 vs PSG).

PSG ana 6 points btn the three, goal difference ya 1 (1 - 2 na 1 - 0 vs Leipzig, 1 - 2 na 3 - 1 vs Man Utd).

Leipzig ana 3 points only, goal difference ya -5 (2 - 1 na 0 - 1 vs PSG, na 0 - 5 vs Man Utd).
 
barcelona
real madrid
psg
sevilla

hizi team ikitokezea zimetufunga tena kwenye mechi mbili za mtoano basi nitafikiria kutafuta starehe nyengine(mpira nitaacha)
achana na kelele za wapinzani sisi tuna team kubwa ila hatujijui ya kwamba tuna timu kubwa.
Sure mkuu,hii inconsistency kama tungekuwa na kocha mkali na mwenye kusoma mchezo ipasavyo tusingekuwa nayo..

Na naamini tukikutana nazo hizo timu zitatusumbua wakati ziko dhohof..
 
kumbe lile balaa linakuwa robo fainali.....
mechi zetu huwa hazitabiriki haijalishi team fulani ina ubora zaidi ya mpinzani fulani.

kipindi cha nyuma ilipigwa mechi moja ya kibabe sana kati ya liverpool na chelsea
bonge la mechi(funga nikufunge)

UEFA mnapokutana watu wa ligi moja, game inakuwa ni ya UEFA na siyo ya ligi, kumbuka kipindi Liver anamtoa City, Tottenham anamtoa City, Real Madrid anamtoa Atletico wakati kwenye ligi Atlet anakaza hasa.
 
Omba usikutane na Chelsea
bado tunahitaji nafasi ya kwanza ila kufungwa goli 3 na paris kumenivunja moyo sana.
unajua uingereza team tatu zimefuzu nafasi ya kwanza, ikitokezea tumeshika nafasi ya pili mara tunachanganywa waingereza watupu kwenye mechi moja ya mtoano.

wasiwasi wangu ndio huo
 
Watapokea mkong'oto vyenye hawajawahi ona sidhani kama tutagawa point tatu za bure kama tulivyocheza na basakseher sijui huko
Vyenye unaongea utadhani una wachezaji wa maana . Yule Straka wenu ana kosa goli yeye na nyavu , njoo uchukue Ground kwa mkopo.
 
Well said ila labda kocha asiwe Solskjaer!!
Hivi game ya leo dhidi ya PSG kulikuwa na ulazima wowote wa Fred kurudi uwanjani second half???

NB: Halafu hapo bench alikuwa na sub 5.
kile kitendo cha kumpiga kichwa mchezaji ni red card, binafsi sijaona utofauti wowote wa tukio alilolifanya na lile lililofanywa na martial dhidi ya spurs.
kuna rafu fulani alicheza jamaa akapewa kadi ya njano (refa alichemsha)
kipindi cha pili unarudi tena na wanadamu wawili waliokwisha onywa mara tatu na referee tena unacheza na neymar mjanja.
inashangaza sana
 
Wachezaji wenu hawana nidhamu

unaweza kunifunga kama utamuanzisha matteo kovacic (jamaa anafit mfumo wowote watakaokuja nao wapinzani)
kinyume na hapo hata tukicheza mechi tano hazitotabirika.
silaha yako ni kovacic dhidi yetu.

ni mzuri kwa pressing
ni mzuri wa kuua pressing ya adui kwa sababu ana uwezo wa kutembea na mipira
ni mzuri wa tackling
anashambulia pindi anapohitajika
anakaba vizuri ukimuhitaji kufanya hivyo
 
Ebu msifie Antonio Martial kidogo basi

Ole lawama zote zinamuangukia yeye...sijui ni kwa nini hawezagi kujiongeza, yaani hata sisi mashabiki tulikuwa tunajua kabisa yule Fred anakula umeme muda wowote nashangaa sana kuona kamrudisha 2nd half na bado kafanya makosa ya wazi refa anamuonya ila yeye OLE alihisi anacheza na southhampton akaamua liwalo na liwe may be atapata come back..
 
Back
Top Bottom