Fred angepumzishwa naiona red card ikimnyemelea
Ole anafanya kosa kubwa Fred alitakiwa kubadilishwa.
Uliona mbali Sana brooOle anafanya kosa kubwa Fred alitakiwa kubadilishwa.
Ni mistake kubwa sana kumuacha defensive midfielder uwanjani akiwa na yellow card baada ya kunusurika kupewa red cardOle anafanya kosa kubwa Fred alitakiwa kubadilishwa.
Tukimfunga PSG leo itakuwa salamu kwa wenzetu kwamba Wasituchukulie poa.....Kama ndoto hivi ila kwa mbaaaaaaaaaaali, yaaan ileee mbaaali, kuna sauti za makelele ya shangwe na fujo za wanajukwaa baada ya ushindi wa Man United dhidi ya Bayern Munchen final msimu huu....The second coming of 1999
Msinipige Mawe![]()
Uliona mbali Sana broo
Hata Fergie alikuwa mtaalamu sana wa hizi sub. Nakumbuka game moja na Arsenal vilitembea viatu sijawahi ona. Game hiyo ndio ya kwanza Van Persie akiwa Man U vs Arsenal. Alitolewa Tom Cleverley baada ya kupata yellow.Kosa kama hili kamwe huwezi kuliona kwa Jose.