Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kazi Kazi.
images%20(8).jpg
 
cavani angefanya nini pale? kila siku nawaambia humu Man united bila martial mbele hatufanyi kitu,

amekosa mechi 4 za ligi, tumeshinda 1 tu, tena na newcastle, amerudi tumeshinda mfululizo mara 3, leo hayupo mambo yanaendelea.

si Greenwood ama Cavani ambaye anaweza fanya Deep completion kule mbele, Martial japo amemiss mechi zaidi ya 4 za ligi, ndio striker anayeongoza kwa deep completion, more than any other player ligi nzima.
View attachment 1637695

kama twitter yako haijafungiwa angalia hapa


wote cavani na greenwood hawana uwezo wa kuhold mpira na ku operate kwenye tight space na kutoa pasi ama nafasi wengine waweze kuzitumia.
Mkuu Kachukue nafasi ya Gary Neville pale Skysports
 
Cavan kwa mara ya kwanza leo anamfanya Chief Mkwawa(No disrespect) akose cha kumtetea Martial utetezi wa jamaa huwa unaingia sana moyoni lkn akili yangu huwa inakataa kabisa...Thanks Cavani.
mkuu ni kweli Cavani ameniprove wrong (half of my comment) ila bado na stand na point yangu, hata leo ukiangalia sisi na southhampton hatujatofautiana sana, na point yangu ipo valid kukosa mtu wa kuhold mpira mbele, tukiwashambulia sekunde 30 tu wapo golini kwetu.
 
Back
Top Bottom