Raha zako zinaendeleajeLEO NAONA ILE TAKATAKA IMEACHWA..NITAANGALIA MPIRA KWA RAHA..View attachment 1637652
Raha zako zinaendeleajeLEO NAONA ILE TAKATAKA IMEACHWA..NITAANGALIA MPIRA KWA RAHA..View attachment 1637652
Umeyapata majibu sasacavani angefanya nini pale? kila siku nawaambia humu Man united bila martial mbele hatufanyi kitu,
amekosa mechi 4 za ligi, tumeshinda 1 tu, tena na newcastle, amerudi tumeshinda mfululizo mara 3, leo hayupo mambo yanaendelea.
si Greenwood ama Cavani ambaye anaweza fanya Deep completion kule mbele, Martial japo amemiss mechi zaidi ya 4 za ligi, ndio striker anayeongoza kwa deep completion, more than any other player ligi nzima.
View attachment 1637695
kama twitter yako haijafungiwa angalia hapa
wote cavani na greenwood hawana uwezo wa kuhold mpira na ku operate kwenye tight space na kutoa pasi ama nafasi wengine waweze kuzitumia.
Ina maana hata nilichoandika hapo kiswahili fasaha kinakushinda kuelewa? Rudi viduduLeo Martial hayupo lawama zako sijui utampa nani.
UmeinamaIna maana hata nilichoandika hapo kiswahili fasaha kinakushinda kuelewa? Rudi vidudu
Ushazoea kuinamishwa huko kwenu unafikir wote jamii moja unakosea heshima muhimu kuinamishana huko kwenu sio jfUmeinama
Ole panua kidogoUshazoea kuinamishwa huko kwenu unafikir wote jamii moja unakosea heshima muhimu kuinamishana huko kwenu sio jf

nilichokiandika ndio kimetokea? still huoni hata tunashambulia hatuna hao wa kuhold?Umeyapata majibu sasa
Washakufanya vibaya unafikir wote tunahitaj kukupanuaOle panua kidogo![]()
Wachezaji gani wapo man united?Man utd hamna kocha ila mnawachezaji..!
arsenal hatuna wachezaji ila tunakocha