Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

[emoji294]Donny on IG [emoji294]

Daaah huyu Dogo tena ayaaah [emoji37]

#GGMU[emoji123][emoji41]

manutd |
IMG_20201129_202814_427.jpeg
 
Duh! Zile ndosi za cavan mjinga mjinga hafungi tofauti kati ya wavulana na watu wazima imeonekana
Hakika mkuu,,
Ndy maana nikasema siku moja wakati namchambuwa martial,,
Nilisema striker gani hapigi vichwa?

Martial anapiga kichwa huku kafumba macho..

Leo ndy imeonekana dhahiri kwamba striker no 9 lazima ujuwe kupiga mashuti,,na pia uwe mkali wa vichwa,,

Naamini mkuu sasa timu pinzani zikicheza na man u,,
Macho yote kwa cavani,,,

Hata van persi analijuwa hilo,,,
Screenshot_2020-11-29-19-42-36.jpeg
 
★Lile shuti la Bwana Bruno lilikuwa lakuuwa mtu asee [emoji23][emoji23] ila kavani kanifurahisha sana Mwenye namba ake anipe nataka kumtumia na yakutolea [emoji23]★
Hakika mkuu,,
Ndy maana nikasema siku moja wakati namchambuwa martial,,
Nilisema strike gani hapigi vichwa?

Leo ndy imeonekana dhahiri kwamba striker no 9 lazima ujuwe kupiga mashuti,,na pia uwe mkali wa vichwa,,

Naamini mkuu sasa timu pinzani zikicheza na man u,,
Macho yote kwa cavani,,,

Hata van persi analijuwa hilo,,,View attachment 1637859
 
★Martial huwa anafanana na ndugu yangu mmoja simpendagi sasa kila kitu wanafanana kiburi,kujigamba na kucheza mpira sasa nilipo muonqg tu uchezaji wake akitolewa anaanza kutambaa badala akimbie ku keep tyme akaniudhi mpaka leo ko hata namba sihitaji [emoji23]★
Nitakupa ya martial mkuu,,,ya cavani sina
 
Back
Top Bottom