Unajisikiaje mkuu.cavani angefanya nini pale? kila siku nawaambia humu Man united bila martial mbele hatufanyi kitu,
amekosa mechi 4 za ligi, tumeshinda 1 tu, tena na newcastle, amerudi tumeshinda mfululizo mara 3, leo hayupo mambo yanaendelea.
si Greenwood ama Cavani ambaye anaweza fanya Deep completion kule mbele, Martial japo amemiss mechi zaidi ya 4 za ligi, ndio striker anayeongoza kwa deep completion, more than any other player ligi nzima.
View attachment 1637695
kama twitter yako haijafungiwa angalia hapa
wote cavani na greenwood hawana uwezo wa kuhold mpira na ku operate kwenye tight space na kutoa pasi ama nafasi wengine waweze kuzitumia.
Martial & Rashford wamepata bahati ya kucheza na washambuliaji hatari lakini hawajifunzi
I hope Cavani atapata nafasi zaidi
Tumevunja ile laana ya kuishia 7 away win in a row.
Namwonaga kama mtoto tu,nilitamani angekua BrunoKuna move moja Rashford kamyima Cavani pasi ya goli amenikera sana
To me he was a man of the match.Kazi Kazi.View attachment 1637733
Jinga sn lile toto, hv vichezaji uchwara vinabd viwe vinatokea benchi.Kuna move moja Rashford kamyima Cavani pasi ya goli amenikera sana
Ni kweli unachosema mkuu ila uyo mtu hawezi kuwa Martial.mkuu ni kweli Cavani ameniprove wrong (half of my comment) ila bado na stand na point yangu, hata leo ukiangalia sisi na southhampton hatujatofautiana sana, na point yangu ipo valid kukosa mtu wa kuhold mpira mbele, tukiwashambulia sekunde 30 tu wapo golini kwetu.



Madogo kama hao ni tamaa. Anataka aonekane star wakati timu iko kwenye matatizo.
Dawa ni waanze kugombania namba na Martial tu.Madogo kama hao ni tamaa. Anataka aonekane star wakati timu iko kwenye matatizo.
Halafu mbaya zaidi hata ole anajuwa kama cavani ni mtu hatari,,Cavan kwa mara ya kwanza leo anamfanya Chief Mkwawa(No disrespect) akose cha kumtetea Martial utetezi wa jamaa huwa unaingia sana moyoni lkn akili yangu huwa inakataa kabisa...Thanks Cavani.
Mimi bado naamini msimu huu tunachallenge ligi, timu pekee ambayo kidogo inatisha ni spurs, na wao pia sidhani kama wana depth ya maana hasa vile wanacheza EuropaWachezaji wawe serious sasa, hatupo mbali na mtu wa juu ya msimamo na mchezo wetu mmoja mkononi. Miaka inaenda aisee mpaka lini tutaisubiri Premier League.
Cavani mtu mbaya2nd goal. CavanView attachment 1637749
Wachezaji wawe serious sasa, hatupo mbali na mtu wa juu ya msimamo na mchezo wetu mmoja mkononi. Miaka inaenda aisee mpaka lini tutaisubiri Premier League.
anayeongoza ana 21 hivi tukishinda kiporo tuna 19 hatupo mbali yaaniMimi bado naamini msimu huu tunachallenge ligi, timu pekee ambayo kidogo inatisha ni spurs, na wao pia sidhani kama wana depth ya maana hasa vile wanacheza Europa