hahahahNahisi Southampton waliangalia game yetu na Istanbul Basaksehir. Ile free kick ya UEFA imepigwa tena na The Saints, De Gea naye kaingia nayo vilevile.

★
Nahisi Southampton waliangalia game yetu na Istanbul Basaksehir. Ile free kick ya UEFA imepigwa tena na The Saints, De Gea naye kaingia nayo vilevile.
Leo Martial hayupo lawama zako sijui utampa nani.Kocha wa timu yetu ni mpumbavu kweli kweli kila anapojaribu kumpanga greenwood na kuacha watu wa maana bench huwa anapata aibu cavan ni bora sana au ighalo kwa greenwood nguvu na hata umiliki wa mpira
cavani angefanya nini pale? kila siku nawaambia humu Man united bila martial mbele hatufanyi kitu,Kocha wa timu yetu ni mpumbavu kweli kweli kila anapojaribu kumpanga greenwood na kuacha watu wa maana bench huwa anapata aibu cavan ni bora sana au ighalo kwa greenwood nguvu na hata umiliki wa mpira







Mimi nataka mfungwe chache tu
Kila mkitaka kuwakaribia wajuu yenu mnaangukiwa na kitu kizitoKwa nini inakuwa hivi