Nimechelewa kuona hii post mkuu
Sawa mkuu, niliingalia kupitia appNimechelewa kuona hii post mkuu
Bora hata corona ni 14 days kama ni injury itakuwa disaster.Hizi International Breaks zinaboa sasa,na hivi kuna Corona,tuombe tu mategemeo yetu yasitest positive