Aje ale 200k kwa wiki !!
MayamiAje ale 200k kwa wiki !!
Still miguu Yake inakitu Cha ziada, jicho la goli lipo ! Atacheza RW ,,, !
Pia kibiashara atatubust ,,,
Not bad ,,,,,
Aje acheze misimu miwili aende MIAMI(tamka mayami )
Less than 1% watu wanaopata covid kupata tena.Tuna gundu aiseee.!!!!
LB luke Ni majeruhi
LB Telles amesharecover from covid19, taarifa zilizopo ali-train timu ya taifa na mwenzie Gabriel Menino, baadae huyo jamaa akagundulika Ni +covid,,,!
Means isolation inamuhusu Tena!!!!
Dah , hopefully BRandon atacover hii nafasi !
Bt kulingana na sheria lazima aji-isolate kwa 14 daysLess than 1% watu wanaopata covid kupata tena.
Brandon William's, Timo Fosu Mensah, Marco's Rojo wanaweza uncover hiyo nafasi.Tuna gundu aiseee.!!!!
LB luke Ni majeruhi
LB Telles amesharecover from covid19, taarifa zilizopo ali-train timu ya taifa na mwenzie Gabriel Menino, baadae huyo jamaa akagundulika Ni +covid,,,!
Means isolation inamuhusu Tena!!!!
Dah , hopefully BRandon atacover hii nafasi !
Mwenye link ya kuangalia mechi ya Portugal na France asidie tafadhali