Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Pogba anaperform vizuri ufaransa sababu ya uwepo wa Ngolo Kante na Nzonzi nyuma yake before alikuwa matuidi.

Siku moja nilisuggest Ole amchezeshe nafasi ya Bruno huku nyuma yake wakiwepo Fred na Scot au Matic.

Na kule Ufaransa anafanya vizuri kwa sababu wenzake almost wote wanamkabia.
Nakumbuka mwanzo alichezeshwa hiyo nafasi pamoja na hao madogo,hoja ikawa amezungukwa na mediocre players wakati hao hao wakimzunguka bruno tunaona ubora wake.
Bado haijulikani pogba anataka nini ili awe kwenye ubora wake.
 
Tumpe muda gani tena?,it's five years now..ukiacha msimu wa 2018-2019 aliojitahidi kidogo,Pogba amekuwa sio mchezaji bora tunayetamani kumuona
Tumpe nafasi ya game times nyingi ajiamini zaidi.

Bado wachezaji wengi wa pale man u ni kama homa ya vipindi,,

Leo wapo form ,,kesho wameshuka viwango.
Bado pogba hajazungukwa na watu sahihi pale man u.

Tunachotakiwa kufanya ni kumletea watu pogba,,
watakao mzunguka ili awe free na dance zake...
Bado pogba ni mchezaji mzuri ,,
nakumbuka hata msimu wake wa kwnz watu walimuongelea vibaya sn,,
Baada ya muda akakaa sawa...Kiwango chake kikarudi kuwa juu.

__Tumpe confidence pogba,,,
--- Aanze first 11.
-- ole abadilishe mfumo ambao utamfanya awe free zaidi..
Na sio kumzodoa...

Ni kwl pogba huyu wa leo sio yule wa juventus...
lakini tumpe muda wa kirudi kwnye Kiwango chake.
 
Ni kwl ole alikuwa anaanza na
Bruno.
Mtic ..Pogba.
Huu mfumo haukuleta matunda sababu man u hatuna beki imara.
Hapo matic alikuwa anacheza kama dmf..na pogba anacheza attacking pamoja na Bruno.
Timu ilikosa balance ya sehemu ya beki...

Ndy hapo ole alipoanza kuwachezesha
Fed ..mactommy..kukabia juu.
Ili kuleta balance kwenye sehemu ya beki,,
Bado man u beki ni tatizo.. Ni bora kuweka defensive midifilder 2 ili kukabia juu kuliko akina magwea.

Bado pogba ni world class midifilder..
Siku tukipata Sancho na beki nzuri ndy hapo tutarudi kwnye mfumo wa kawaida ..kuchezesha dmf 1 tu..

Man u bado hakuna midifilder kwenye vitu kama pogba...
Tatizo ni kushuka Kiwango kilichosababishwa na ole mwenyewe,,
Kumfanya pogba kutokujiamini..
Kwahiyo Pogba akianzishwa attacking midfield au asipotokea benchi defence itaimarika ?
 
Ni kwl ole alikuwa anaanza na
Bruno.
Mtic ..Pogba.
Huu mfumo haukuleta matunda sababu man u hatuna beki imara.
Hapo matic alikuwa anacheza kama dmf..na pogba anacheza attacking pamoja na Bruno.
Timu ilikosa balance ya sehemu ya beki...

Ndy hapo ole alipoanza kuwachezesha
Fed ..mactommy..kukabia juu.
Ili kuleta balance kwenye sehemu ya beki,,
Bado man u beki ni tatizo.. Ni bora kuweka defensive midifilder 2 ili kukabia juu kuliko akina magwea.

Bado pogba ni world class midifilder..
Siku tukipata Sancho na beki nzuri ndy hapo tutarudi kwnye mfumo wa kawaida ..kuchezesha dmf 1 tu..

Man u bado hakuna midifilder kwenye vitu kama pogba...
Tatizo ni kushuka Kiwango kilichosababishwa na ole mwenyewe,,
Kumfanya pogba kutokujiamini..
Halafu unasemaje defense yetu haikuwa imara last season wakati tulifungwa goli chache kuliko timu zote except Liverpool tu ?
 
Tumpe nafasi ya game times nyingi ajiamini zaidi.

Bado wachezaji wengi wa pale man u ni kama homa ya vipindi,,

Leo wapo form ,,kesho wameshuka viwango.
Bado pogba hajazungukwa na watu sahihi pale man u.

Tunachotakiwa kufanya ni kumletea watu pogba,,
watakao mzunguka ili awe free na dance zake...
Bado pogba ni mchezaji mzuri ,,
nakumbuka hata msimu wake wa kwnz watu walimuongelea vibaya sn,,
Baada ya muda akakaa sawa...Kiwango chake kikarudi kuwa juu.

__Tumpe confidence pogba,,,
--- Aanze first 11.
-- ole abadilishe mfumo ambao utamfanya awe free zaidi..
Na sio kumzodoa...

Ni kwl pogba huyu wa leo sio yule wa juventus...
lakini tumpe muda wa kirudi kwnye Kiwango chake.
Mkuu mie nashauri tutengeneze timu bila kujali uwepo wa pogba.
pogba sio messi wala ronaldo kwamba ni aina ya wachezaji wanaopatikana mara moja kila baada ya miaka 50-100
Kwanini tufanye mabadiliko mengi hivyo ili tu kuupata ubora wa pogba?
Kitu cha msingi tutengeneze timu ambayo inacheza kama kitu kimoja kuanzia kukaba kushambulia.
Fikiria tufanye mabadiliko mengi hivyo halafu kwa ajili yake halafu anapata majeraha ya kumuweka nje miezi kibao nje,tutalia
Ukichanganya na kauli zake za hivi karibuni,jamaa atuachie timu yetu akatafute malisho mema kwingine tu
 
Nakumbuka mwanzo alichezeshwa hiyo nafasi pamoja na hao madogo,hoja ikawa amezungukwa na mediocre players wakati hao hao wakimzunguka bruno tunaona ubora wake.
Bado haijulikani pogba anataka nini ili awe kwenye ubora wake.
Ukweli mchungu huu, jamaa amebadilishwa kila mfumo lakini hakuna kinachobadilika.
 
Hivi mechi yetu na Instanbul na Arsenal Pogba alicheza position ipi ?
Pogba alianzia bench mkuu,,
Tukicheza na matic dmf..na VDB pamoja na.mata..na Bruno..
Ndy nasema Yale Yale bado timu ilikosa dmf wawili...timu ilikosa defensive sehemu ya beki..dvb ni attacking midifilder...
 
Mkuu mie nashauri tutengeneze timu bila kujali uwepo wa pogba.
pogba sio messi wala ronaldo kwamba ni aina ya wachezaji wanaopatikana mara moja kila baada ya miaka 50-100
Kwanini tufanye mabadiliko mengi hivyo ili tu kuupata ubora wa pogba?
Kitu cha msingi tutengeneze timu ambayo inacheza kama kitu kimoja kuanzia kukaba kushambulia.
Fikiria tufanye mabadiliko mengi hivyo halafu kwa ajili yake halafu anapata majeraha ya kumuweka nje miezi kibao nje,tutalia
Ukichanganya na kauli zake za hivi karibuni,jamaa atuachie timu yetu akatafute malisho mema kwingine tu
Ni kwl hakuna mchezaji mkubwa zaidi ya club.
Lakini pia tuangalie yeye pogba analalamikia kitu gani?

Isije ikawa tatizo ni ole ,,,kwani pia hakuna kocha mkubwa zaidi ya club.
Anapaswa afate ushauri ..
 
★OFFICIAL : Alex Telles has tested negative for COVID-19.★

#GGMU

manutd |
IMG_20201117_172013_784.jpeg
 
★Bruno Fernandes: “A coach said to me, “If you want to be a top player, you will need to play as a central defender. If you want to be a good player, you will be a midfielder.” I think he was wrong but maybe as a central defender I could be much better I don’t know!”!★

#GGMU

manutd |
IMG_20201115_215628_127.jpeg
 
Pogba asepe tu. Hana msaada Man U tofauti na utozi aende huko akawape hudumu na kuvuta oxygen anayodai.
 
Back
Top Bottom