ukiachana na matokeo ya msimu uliopita yaliopelekea kufukuzwa kwake, pochettino aliweza kuifanya spurs iwe ni timu ya ushindani kimatokeo ( consistent performance) kwa takribani miaka 5 isiyokuwa na bajeti kubwa ya usajili.
poche pia ana uzoefu mkubwa sana wa ligi kuu ya uingereza nakumbuka alianza kazi akiwa na southampton na alijenga timu nzuri sana pale, kivyovyote media za kiengereza hazitokuwa tayari kumpoteza mwanadamu mfano wake.
sijui ujio wake wa kati kati ya msimu utatufaidishaje(hilo ni swali linaloweza kujibiwa na wahusika wenyewe)
===================
hivi mechi yetu dhidi ya
southampton iko mbali sana,
teh teh teh hiyo mechi itukute ole akiwa bado ni mwalimu wetu.
natamani kuiona comeback yake kuanzia tactics na matokeo dhidi ya mtaalamu asiyeimbwa
Ralph Hasenhüttl.View attachment 1622196