Nyoka mwenye makengezaa
JF-Expert Member
- Nov 22, 2019
- 787
- 1,055
Wakuu kwa ubovu wa martial kwa nini tusimchukue Andy Carol? tuwape newcastle martial na £30m tumchukue
Huyo martial ni natural left wing,,sio striker,, neno hili tutalisema siku zote,,Hapo wote nimewaelewa. Huyu dogo asipokuwepo kule mbele huwaa panakuwa hovyo sana, mipira haikai.
Punguza mahaba kwa martial..Link up play inakuwa nzuri with Martial kuliko striker mwingine yoyote.
Ndiyo maana timu inakuwa consistent going forward na tutakuwa lethal kwenye final third.
Mahaba ndiyo nini ?Punguza mahaba kwa martial..
Martial hapaswi kutetewa,,,Mahaba ndiyo nini ?
Kwanza me nawashangaeni munao mkataa.Sema wazee mi naona huyu Ole kufukuzwa haiwezekani maana kila tukipata sababu ya kumtimua na yeye anatafuta sababu ya kubaki.
Tufurahie tu pira la Ole Gunnar Solskjær, wazee! Au mnasemaje?![]()
Kwaio tumekubaliana ole anabaki, mitano tena
Ole anang'ata na kupuliza![]()
Ole hafukuzwi kirahisi hivyo.Wakuu huyu Ole tunaye tu itabidi tujitaidi kumzoea, jana nilimuombea mabaya ili OleOUT pressure iwe kubwa cha ajabu kashinda tena 3
Mchukieni nyinyi.Maskini Ighalo ndo kashasahaulika
Kweli? Kwani Ighalo ana magoli mangapi msimu huu na Laca ana mangapi?Mchukieni nyinyi.
Naamini akitua pale, Lacazet hana namba.
Kaongea kama mtu mzima ,angekuwa Rashford pale lazima angelazimisha apige na uwezekano mkubwa angekosa kama kawaida yakeFernandes: "I don't need to think about a hat-trick. [I set up Edinson Cavani because] for a striker it is important to score for his confidence, he will be important for us and the first goal will give him confidence." #muzone [bbc sport]