D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,022
baadhi ya mechi ni bora turudishe combination ya matic na fred kama ilivyokuwa mwanzoni mwa mwaka huu.Nafikiri ni vyema mwalimu akampush mmoja awe anaoperate juu kidogo ya mwenzake ili kuondoa hili gape linalokuwepo kati yao na Bruno.
both wana uwezo wa kutembea na mipira.
======
kufeli kwa 4-2-3-1 ya pogba ni anguko kwa pogba mwenyewe na donny van der beek
mbaya sana kwa sababu wote hao siwaoni kama wana uwezo wa kumuondoa bruno pale namba 10