Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ni wachezaji average wanaocheza tm kubwa huwa nashangaa sana kwakweli.
Yamelelewa vibaya na management

Management serious kwa wale inawapeleka mkopo Serie A au Bundesliga wakaone umuhimu ,jitu kama Martial unaona kabisa lina kipaji ila halitaki kujituma , Rashford utoto,uchoyo haliachi halafu kipaji hakikui
 
United we stand
IMG-20201109-WA0010.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yamelelewa vibaya na management

Management serious kwa wale inawapeleka mkopo Serie A au Bundesliga wakaone umuhimu ,jitu kama Martial unaona kabisa lina kipaji ila halitaki kujituma , Rashford utoto,uchoyo haliachi halafu kipaji hakikui
Sure mkuu, ukimuangalia Martial au Rashford unaona kabisa kuna kitu special wanacho lkn malezi mabaya waliyopewa pale utd yamewafanya wasipandishe viwango.
 
  • kuna uhusiano wowote wa kufanya kwetu vibaya na kutokumpa heshima inayostahili fred kwa kile anachokifanya pindi tunapotumia mfumo wa double pivot?
  • labda kuanza kwake vibaya msimu wake wa kwanza ndio imekuwa ni tiketi ya kuendelea kutokuthamini mchango wake bwana fred kwa kadri anapocheza kwenye huu mfumo wa double pivot?
udhaifu wa Ole Gunnar kwenye suala lazima la kuisimamia timu na hatimaye kuzalisha inconsistency performance isiwe sababu ya kutokuwapa heshima wachezaji wanaojitolea kwa jasho lao kila dakika wanayopewa bila ya kujali matokeo tunayoyapata.

his position is phenomenon,
jamaa ni bingwa wa kunusa hatari za team pinzani bila ya kujalia adui anayepambana naye physically,
jamaa ni bingwa wa kutembea na mipira mbele japokuwa hamzidi nemanja matic,
jamaa ni bingwa wa kufanya tackles za uhakika yabaki tu maamuzi ye referree.

tusisubirie tumeshika nafasi ya 1-4 ndio tuanze kuwasifia baadhi ya wachezaji wetu.
tumpe heshima yake FRED
Binafsi Fred the Red uwa namuelewa sana, mapafu ya mbwa
 
Bruno fernandes sasa amehusika moja kwa moja kwenye magoli 23 katika mechi 21 za Ligi Kuu, wastani wa golj kila dakika 76.6

Katika mashindano yote, amefunga goli 18 na kutoa assist 13 katika mechi 33 kwa chini ya mtaalam Ole Gunnar Solskjaer

ana assist 10 za Ligi Kuu tangu mechi yake ya kwanza, zaidi ya kiungo yeyote wa EPL

Tangu Fernandes alipocheza mechi ya kwamza Februari 2020, Mohamed Salah pekeake ndio mchezaji ndio anamzidi magoli na anagoli zaidi ya 13 kwa EPL

Licha ya ukawa kumuita mzee wa penati, Bruno amefunga goli saba(7) ya ligi yasio ya penati tangu aje Manchester.
Hakuna kiungo aliyefunga zaidi katika kipindi hicho sio De Bruine sio nani!

Akiwa na mabao 10 na assist 5, Fernandes anahusika kwenye goli nyingi kwenye mechi zake 10 za kwanza za EPL
Hiyo ni idadi kubwa kuliko mchezaji yeyote katika historia ya mashindano hayo yani hakuna mchezaji alie husika kwenye hyo idadi ya magoli kwenye mechi zake 10 za kwanza EPL,kuanzia ma striker mpaka makipa hakuna !!

Mbungi yake dhidi ya Everton ilimpa tuzo ya Man of match likua mara ya 5 Fernandes amepewa tuzo hyo toka kahamia England. Hakuna mchezaji aliyepokea zaidi yake tangu aje.

Bila kusahau kwenye picha huyo bwana ndio mchezaji alie tengeneza nafasi nyingi zaidi msimu huu 20,Kelvin De bruine anafatia ana 18

Bruno Fernandez ni mchezaji Bora EPL

UKIBISHA UWE NA FACT NA STATISTICS
#GGMU

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Manchester United:
Mason Greenwood put in a lethargic display in #mufc training on Friday before he didn't travel to Everton. There are doubts over whether he is getting enough sleep #mulive [@David_Ornstein]

Sources say Mason Greenwood is failing to understand the process of resting away from training and showing total commitment during each session #mulive [@David_Ornstein]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
★Real Talk★
Mashabiki wengi wa ligi ya England kuanzia England kwenyewe mpk Tanzania huwa wanavumilia ujinga sn na ndiyo maana hz tm huwa hazifiki mbali ucl, unakuta mchezaji mbovu na anabaatisha lkn mashabiki hawaachi kujipa moyo, kule Spain hakunaga ufala wa kuvumilia wachezaji wazembe wazembe na ndiyo maana utakuta kikosi kizima wachezaji wote wako perfect.
 
Back
Top Bottom