Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Fernandes: "I don't need to think about a hat-trick. [I set up Edinson Cavani because] for a striker it is important to score for his confidence, he will be important for us and the first goal will give him confidence." #muzone [bbc sport]
Kaongea kama mtu mzima ,angekuwa Rashford pale lazima angelazimisha apige na uwezekano mkubwa angekosa kama kawaida yake
 
Fernandes: "I don't need to think about a hat-trick. [I set up Edinson Cavani because] for a striker it is important to score for his confidence, he will be important for us and the first goal will give him confidence." #muzone [bbc sport]
Huyu alifaa sana kuwa captain na sio yule taaira

Sent from my itel S31 using JamiiForums mobile app
 
What a player
Screenshot_20201108_125041.jpeg
 
  • kuna uhusiano wowote wa kufanya kwetu vibaya na kutokumpa heshima inayostahili fred kwa kile anachokifanya pindi tunapotumia mfumo wa double pivot?
  • labda kuanza kwake vibaya msimu wake wa kwanza ndio imekuwa ni tiketi ya kuendelea kutokuthamini mchango wake bwana fred kwa kadri anapocheza kwenye huu mfumo wa double pivot?
udhaifu wa Ole Gunnar kwenye suala lazima la kuisimamia timu na hatimaye kuzalisha inconsistency performance isiwe sababu ya kutokuwapa heshima wachezaji wanaojitolea kwa jasho lao kila dakika wanayopewa bila ya kujali matokeo tunayoyapata.

his position is phenomenon,
jamaa ni bingwa wa kunusa hatari za team pinzani bila ya kujalia adui anayepambana naye physically,
jamaa ni bingwa wa kutembea na mipira mbele japokuwa hamzidi nemanja matic,
jamaa ni bingwa wa kufanya tackles za uhakika yabaki tu maamuzi ye referree.

tusisubirie tumeshika nafasi ya 1-4 ndio tuanze kuwasifia baadhi ya wachezaji wetu.
tumpe heshima yake FRED
 
Nafikiri Ole bora angewaamini Fred na Scot kwenye hiyo double pivot mbele yao awe anawarotate Pogba, Bruno na Donny.

Wale jamaa wawili wakicheza pamoja timu inakuwa salama sana defensively lakini pia wanampa uhuru Bruno wa kufanya kazi yake mbele.

Badala ya kumtumia Pogba au Donny kwenye double pivot ni vyema Bruno, Pogba na Donny wapiganie namba hapo kwenye attacking midfield.

Ni kweli work rate ya Fred ni kubwa sana na anafanya ball recoveries nyingi sana uwanjani.
 
Nafikiri Ole bora angewaamini Fred na Scot kwenye hiyo double pivot mbele yao awe anawarotate Pogba, Bruno na Donny.
kwa kutegemea na mechi husika, nisingependa kumuona Ole anaanza na fred scott kwa wakati mmoja dhidi ya timu kama west ham ambao hupendelea zaidi kucheza soka la kujilinda(pafu la fred naamini linatosha kuwadhibiti) huku ukiongeza wigo wa ufundi eneo la ushambuliaji.
bruno anakuwa mweupe sana pindi tunapocheza na timu zinazojilinda low block hivyo basi unahitaji huduma ya kiungo mwenye uwezo wa kucheza one touch kama vile donny na mata.
4-1-4-1 inatutosha dhidi ya timu kama hizo​
 
Wale jamaa wawili wakicheza pamoja timu inakuwa salama sana defensively lakini pia wanampa uhuru Bruno wa kufanya kazi yake mbele.
tunakuwa vizuri kiulinzi ila tatizo letu kubwa tunaacha gapes kubwa sana between the line ya kiungo na ushambuliaji, vile vile tunaacha space kubwa sana kati ya mchezaji mmoja hadi mwengine,

mfano inapotokezea mchezaji wetu amevamiwa na adui anashindwa kupata msaada kwa haraka vartically, huu ujinga ulitokezea sana kwenye mechi yetu ya spurs

mfano mwengine unamkuta bruno anafanya pressing kule juu lakini midfield wetu wawili wanakuwa chini sana (kwenye duara dogo la kati)
 
Hii inatokana na sababu ya strikers wetu kutofanya pressing hasa Rashford na Martial ndiyo maana Bruno anafanya hii kazi ya kipunda muda wote.

Kingine by nature hawa jamaa wote ni holding midfielders hivyo hata kupanda kwenda kushambulia wanakwenda with a defensive mind.

Nafikiri ni vyema mwalimu akampush mmoja awe anaoperate juu kidogo ya mwenzake ili kuondoa hili gape linalokuwepo kati yao na Bruno.

Tatizo la Pogba kwenye hii double pivot ni recklessness na kushindwa kutekeleza majukumu ya kiulinzi anapotakiwa kufanya hivyo.
 
Back
Top Bottom