Upo sahihi
Hata ukiangalia game yetu ya mwisho, wenzetu wakipata mpira wana haraka ya kwenda golini kwetu, lakini sisi tukipata hatuna haraka na tunawapa wapinzani muda wa kurudi kupaki basi
Pia Ole (Ole means benchi lote la ufundi) hana plan B, timu pinzani inapotukamata kwenye counter attack zetu basi timu inakuwa haina njia mbadala, mfano ninaamini mechi ya juzi tunge opt long balls kuanzia dakika ya 70 tungeweza kupata kitu
Halafu tuna shida ya kupasi ili tuonekane tuna pasi lakini sio kupasi ili tupate goli, yote hii ni down to poor coaching