haya bwana
Member
- Mar 15, 2020
- 69
- 122
Fan wa man utd tuwe wawazi,kadri siku zinavyoenda tunaimprove kwakweli,tusiwe watu wa kupooonda, chelsea sio timu ndogo,leo angalau tunaonesha mwelekeo.
Tunahitaj game kama hizi ili kutujaza confidence,pale katikati leo palikua poa sana,tunahitaj tu ubunifu wa kupeleka mipira mbele
Tunahitaj game kama hizi ili kutujaza confidence,pale katikati leo palikua poa sana,tunahitaj tu ubunifu wa kupeleka mipira mbele