Amekaa sana epl ana uzoefu mzuri tu na hii ligi......ilo tu ndio nalolionaAna tofauti gani na Ole ?
Mbona mlimfukuza Mourinho sasa kama issue ni matajiTunahitaji mataji siyo mpira mzuri
Huyu sosha si ndio juzi juzi tu alishinda mechi ya epl kwa 'kandanda' safi dhidi ya vibonde akadai SASA WAMEANZA RASMI LIGI.....
![]()

Beki anayefanya tackles nyingi tambua kuwa anafanya makosa mengi hasa ya positioning.Hahaha Tony?
Gabriel vs Harry
Appearances:
Gabriel = 6
Harry = 6
Clean Sheets
Gabriel = 2
Harry = 1
Tackles
Gabriel = 10
Harry = 2
Passes
Gabriel = 523
Harry = 401
Last Man Tackles
Gabriel = 1
Harry = 0
Goals Conceded
Gabriel = 4
Harry = 13
Clearances
Gabriel = 17
Harry = 22
Huyu afananishwe na Tony? Kweli? Vitu vingine ni komedi.
Hana mentality ya ushindi yule ni kocha wa kawaida na probably hana bahati ya vikombeAmekaa sana epl ana uzoefu mzuri tu na hii ligi......ilo tu ndio naloliona
Sent from my itel S31 using JamiiForums mobile app
Timu ilikuwa kwenye hali gani?Mbona mlimfukuza Mourinho sasa kama issue ni mataji
Hahaha PrOtEcTeD ViZuRiBeki anayefanya tackles nyingi tambua kuwa anafanya makosa mengi hasa ya positioning.
Ukiona hivyo jua Maguire yuko protected vizuri na midfield yake
Najua fika kama unatania tuBeki anayefanya tackles nyingi tambua kuwa anafanya makosa mengi hasa ya positioning.
Ukiona hivyo jua Maguire yuko protected vizuri na midfield yake
Na wewe umeanza utaniKikosi bora!
Arsenal wana kikosi bora kuliko man utd
Ila
Man utd wana kikosi ghali kuliko Arsenal.
Unakuwaje na kikosi bora ambacho kinacheza hovyōhovyo,
