Kwa maneno yako haya una maanisha kocha na wachezaji wake wote wabovu?
Kocha anaweza asiwe mbovu au akawa mbovu,
90% pale man u hakuna wachezaji
Van gal, mourinho
Hawa ni makocha wenye vigawango vizuri sana, mlikipata msichokiitaji
Sasa mnataka aje zidane au guadiola ili wakichemka muwe mmepata jibu!!!
Maguire na lindelof hiz mbuzi hata zikikaa miaka 100 hazitakuja kuwa parfect. Tafuteni beki majirani zangu
Mlimuuza lukaku, mkabaki na rashford. Then mkaona bora mumchukue cavani na lile zigo la China (hivi anachezaga kweli yule??)
Pogba kutoka moyoni na wote mnajua haipendi man u,
Ferguson aliwai kumkataa akaenda juve, pesa ndio imemrudisha pale muda wowote anasubiri simu kutoka kwa zidane, safari R.Madrid
Pogba anacheza kulinga na siku atakavyoamka na aulizwi
Bruno hana tofaut na ozil, lakin ozil anakiwango kikubwa kuliko huyo Bruno.
Uchawi kuwa Ozil anaachwa ila Bruno huko ndio kikos cha kwanza panga pangua. Alafu unataka nini eti??? Niambie Bruno ana goal ngapi??? ukiacha penalties ambazo anataka hadi za timu pinzanj
Hivi cavani mnamlipa pesa au yeye ndio anawalipa pesa??
Hivi mlishindwa ata kumkamata Suarez? Dybala aje kutia nguvu pale mbele (hivi unajua Cavan ata Everton hapati namba? Atamtoa nani?)
De gea sio de gea yule, huyu nae asiwadanganye. Sasa hivi ukitaja goalkeepers watano wazuri pale EPL, huyo ngongoti wenu haumkuti
Wanbisaka hakuna kitu, na nyie mnajua hilo. Full backs sasa hiv inabid uwe na skills, high speed rate, dynamic, brain
Hiyo vyote bisaka amekosa
Greenwood ni mcehzaji ambae hana madhara wala hana hasara. Ila Nasikia mnamuita van persie.
Rashford kama bahari kupwa na kujaa, not consistency player.
SASA SOSHA AFANYE NINI HAPO??
Jaribuni kuvaa viatu vya sosha kama mtaweza alafu uwe wa kwanza kumnyooshea kidole