The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,429
Stil hoping for the breaking news
Huyu Dean akasema "Narudi kua kipa namba moja"
Tulia usuuzwe
Kama.sio wewe vile ambaye ni msumbufu![]()
Inatakiwa game ya Everton tupigwe, tuende nafasi ya 17...halaf baada ya international games, tupigwe tena tuende tushuke zaidi nafasi hadi ya 23 huko..
Everton akishinda kesho dhidi ya Man Utd, Jumatatu Pochettion atakua Carrington
Kesho mtashinda mwanangu , Ndio mpira kuna matokeo matatu,Watoto wamenichanganya sana.
Inatakiwa tupigwe hadi ikiwezekana tuwe chini ya kushuka mstari kabisaEverton akishinda kesho dhidi ya Man Utd, Jumatatu Pochettion atakua Carrington
Siyo kwamba sijui mwisho ni 20, ni expression tuUtakua hauko sawa.
Everton anashinda, Ole anaondokaEvaton ashindi, na Ole hafukuzwi.
Kuna mechi za kimataifa baada ya JplEverton akishinda kesho dhidi ya Man Utd, Jumatatu Pochettion atakua Carrington
Kama sio mchezaji cavani ni nani basi?Cavan nae bado mchezaji?
Mara 100 nketiah kuliko huyo babu Cavan, usidanganyike na jina. Yule hakuna kitu sasa hivi
Umemtaja pogba, inamaana umesahau nani alimficha yule pogba, na viungo wote wa man u pale kati
Tulikua na Ozil ambae Bruno wawe 5 ndio wanafikia kiwango na pass killer za ozil
Lakin ozil anakula mbao pale emirate
Alafu mbona haujataja Maguire? Ambae ndio mlinzi mkuu
Atasimamia mazoez ya wschezaji ambao hawajaitwa timu ya taifaKuna mechi za kimataifa baada ya Jpl
United kuna shida ya coaching.
1. Timu anacheza slow sana na very predictable.
2. Tunafanya touches nyingi sana kabla ya kupiga pass matokeo yake tunakabwa.
3. Tunacheza back pass nyingi sana unnecessary hii ni kwa sababu tunafanya touches nyingi sana hata kwenye sehemu ya single touches.
4. Wachezaji wanatumia muda mwingi kuexpress brilliance badala ya kucheza kutafuta results.
5. Sloppy passing and poor marking ni tactical problem not down players quality.
6. Poor run na poor positioning ni tactical problem not down to players quality.
7. Wachezaji wetu wameloose aggressiveness to the extent wanacheza kumaliza dakika 90 siyo kutafuta matokeo.
8. Benchi la ufundi inaonekana limestuck na wachezaji walionao wameshindwa kuwapa muunganiko mzuri.
9.Benchi la ufundi linafuata pressure za mashabiki na pundits kupanga kikosi badala ya kuzingatia chemistry ya timu.
10. Sioni kama tuna sababu ya kuwachezesha Pogba, Donny na Bruno pamoja na hakuna sababu ya kuwachezesha Pogba na Bruno pamoja lazima tumsacrifice either Pogba au Bruno ili timu ipate rhythm nzuri uwanjani.
NB.
Mimi ni pro Ole.