Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ole watu wanamtetea tu humu lakini kiuhalisia hakuna anachoarchieve hata kimoja maana kwa mda aliokaa Ole Van gaal alishabeba kombe, Mou pia alishabeba ila yeye sioni dalili hata ya carabao yani kiufupi jamaa hawezi kutupa hayo mafanikio.

Van gaal alifukuzwa lakini mimi nasema yule mzee ndo alipaswa kupewa muda maana hata mabadiliko ya kiuchezaji yalionekana ingawa shida ikawa hatufungi droo nyingi sana sasa ole uuuuups hakuna mpira mzuri hakuna nini tunaenda tu.

Sijajua why wanasema Poch ni average nadhani anaweza kuwa kocha mzuri tu kuliko Ole sababu tott haikuwa mbaya chini yake pia haikuwa na World class players kama ilivyo united, anaweza kuwa na jambo lake zuri tu pale OT lakini imani yangu na Ole imeisha kabisa imerudi zero+ hahaha.
Nani anafaa kwa sasa kuifundisha united ?
 
HAWA MAKOCHA WANAJIFUKUZISHA WENYEWE..NAONA CAVANI YUKO NJE NA MPUMBAVU martial YUKO NDANI.
Screenshot_20201107-143653_All%20Goals.jpg
 
Back
Top Bottom