Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kusema kweli mimi game za United kama nina appointment na demu baada mechi huwa nacounsel maana tulifungwa nitaishia kuuza hiyo mechi na mimi.

It pains sana kufungwa hasa na timu usiyoitarajia halafu unacheza mpira mbaya kuliko hata watoto wa shule.
Mkuu kama kesho una appointment na demu kesho niuzie kabisa hiyo game, maana hutoboi,

Calvert Lewin ana jambo lake kesho
 
★Gareth Southgate on Greenwood: "I've had a good chat with Ole [Gunnar Solskjær] about his development and, you know, I feel it's better for him to stay with the club at the moment and to develop over the next few months."★

manutd |
 
★Anthony Martial has served his three match domestic suspension and will be available for selection this weekend .★

manutd |
IMG_20201106_183130_022.jpeg
 
Nataka Ole aondke ila sikubali Poch aje.

He is too average. Atakupa mpira mzuri ila hatakupa makombe.
 
Ole watu wanamtetea tu humu lakini kiuhalisia hakuna anachoarchieve hata kimoja maana kwa mda aliokaa Ole Van gaal alishabeba kombe, Mou pia alishabeba ila yeye sioni dalili hata ya carabao yani kiufupi jamaa hawezi kutupa hayo mafanikio.

Van gaal alifukuzwa lakini mimi nasema yule mzee ndo alipaswa kupewa muda maana hata mabadiliko ya kiuchezaji yalionekana ingawa shida ikawa hatufungi droo nyingi sana sasa ole uuuuups hakuna mpira mzuri hakuna nini tunaenda tu.

Sijajua why wanasema Poch ni average nadhani anaweza kuwa kocha mzuri tu kuliko Ole sababu tott haikuwa mbaya chini yake pia haikuwa na World class players kama ilivyo united, anaweza kuwa na jambo lake zuri tu pale OT lakini imani yangu na Ole imeisha kabisa imerudi zero+ hahaha.
 
Jamaa katolewa nusu fainali tatu yani pale ndio nikamkumbuka morinyo fasta

Sent from my itel S31 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom