Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,697
- 32,447
Tunahitaji mataji siyo mpira mzuriAfadhali ya pochetino hata mpira mzuri tutauona!
Tunahitaji mataji siyo mpira mzuriAfadhali ya pochetino hata mpira mzuri tutauona!
Anceloti one season wonder??Bahati mbaya sana hawa waitaliano nao ni one season wonder.
Ana tofauti gani na Ole ?Mm mwenyewe nina wasi wasi kuhusu Poch ila ni ajabu sana kusema yuko daraja moja na Ole ni ajabu sana.
Yes ukiondoa Mancin hao wengine Premier league walifanya maajabu msimu mmoja na kupotea.Anceloti one season wonder??
Mancini??
Ranieri??
Yule amewahi kucheza fainali ucl, Ole kafika wapi ucl ??Ana tofauti gani na Ole ?
Mm binafsi sioni kama Poch anaiweza utd ila cwezi kumfananisha na Ole cz km angepewa tott ile ya Poch naimani angeishusha daraja.Hicho ndiyo kitu pekee kinachomtofautisha na Ole?
Mbona haujaangalia alikaa muda gani Totenham kufikia hayo mafanikio ?
Mkuu Ole co kocha wa timu kubwa anahitaji muda lkn pia czan km ataweza kuwa kocha mzr hata baada ya huo muda amini kwamba mkuu.Hicho ndiyo kitu pekee kinachomtofautisha na Ole?
Mbona haujaangalia alikaa muda gani Totenham kufikia hayo mafanikio ?
Kama.sio wewe vile ambaye ni msumbufuSina chakuongea chochote, nang'aa sharubu tu


Hahaha Tony?Ulitaka nitaje mchezaji kwenye position ambaye kwa mara ya mwisho mlikuwa nae Tony Adam's?
Huyo ni RAIA wa Austria mkuu....ila wajerumani na waaustria ndo walewale tuMakocha wengi wa kijerumani ni wazuri