Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

LIVERPOOL DEFENSE THAT PLAYED AGAINST ATLANTA.

Gomez £3.5m
Arnold £0
R. Williams £0
Robertson £8
TOTAL = £11.5m
ATLANTA 0-5 LIVERPOOL

MANCHESTER UNITED DEFENSE THAT PLAYED AGAINST BASAKSEHIR

Maguire £87
Tuanzebe £0
Shaw £30
Wan Bissaka £55m
TOTAL = 172m
BASAKSEHIR 2-1 MANCHESTER UNITED
Duuuh kweli OGS must go

Kwanza nashangaa mpaka sasa kwann OGS bado ni kocha wa ManUtd
 
Screenshot_20201105-172844.jpg
 
Hao wachezaji uliowataja wote wanakuwa regular starter pale Arsenal
Maguire na Linderlof wanapataje namba kwa Gabriel na Holding? Acha utani, mchezaji anayeweza kuingia katika kikosi chetu ni bruno/mata tu, hao wengine watasubiri mbao ndefu
 
Ongeeni na Leeds awauzie kocha wake.

Soko la makocha ambao ni world class ni gumu sana kipindi hiki.

Marcelo Bielsa hawezi fundisha mastaa
Mastaa kama Pogba wanaweza mgomea waka revolt.
Tactics anazotumia zinawafaa wachezaji wasio kuwa na majina kama hapo Leeds..
Mpira wa kukimbiza dakika 90 sio mchezo..
Timu nyingi haziwezi na wachezaji wengi hawataki..hata hapo Leeds baada ya mechi 20
Usishangae wakianza kupigwa ovyo ovyo
 
Pale Arsenal kuna mchezaji gani walau anayekaribia kiwango cha Edson Cavani ?

Kuna mchezaji gani walau anayekaribia kiwango cha Paul Pogba ?

Kuna mchezaji gani walau anayekaribia kiwango cha Bruno Fernandes ?

Mchezaji gani anayekaribia kiwango cha Scot ?
Unamaanisha au unatania?
 
Hayupo serious japo kusema Man utd ina kikosi bora kuliko Arsenal atakuwa anasema ukweli.
Kikosi bora!

Arsenal wana kikosi bora kuliko man utd

Ila

Man utd wana kikosi ghali kuliko Arsenal.

Unakuwaje na kikosi bora ambacho kinacheza hovyōhovyo,
 
Back
Top Bottom