Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,695
- 32,446
Kacheza pamoja na Bruno na Pogba siyo ?Nadhani umeona leo namba aliyocheza Donny.
Kacheza pamoja na Bruno na Pogba siyo ?Nadhani umeona leo namba aliyocheza Donny.
Tatizo co kucheza na Bruno na pogba Bali nimekuwa nikisema dony anaweza kucheza pembeni na fresh tu alafu mkuu dony anaweza kucheza pamoja na Bruno na pogba, shida nn?Kacheza pamoja na Bruno na Pogba siyo ?
Dony hajacheza pembeni, Martial na Greenwood ndio wamecheza pembeni na Dony alikuwa KatikatiTatizo co kucheza na Bruno na pogba Bali nimekuwa nikisema dony anaweza kucheza pembeni na fresh tu alafu mkuu dony anaweza kucheza pamoja na Bruno na pogba, shida nn?
Hahahaha Safi sn mkuu kwa kuongea ukweliHuyu Ole akisikia kitumbua kinataka kuingia mchanga anakua mkali. Arsenal tujipange, hawa RB wana CB wa 80M na wamekufa tano sisi na Mustafi itakuaje?




Basi bado utabishaDony hajacheza pembeni, Martial na Greenwood ndio wamecheza pembeni na Dony alikuwa Katikati
Dogo acha ubishi usio na maana.Tatizo co kucheza na Bruno na pogba Bali nimekuwa nikisema dony anaweza kucheza pembeni na fresh tu alafu mkuu dony anaweza kucheza pamoja na Bruno na pogba, shida nn?
Ok sawa msemaji wa man u, mm na ww letu moja tuache yapite, g9t.Dogo acha ubishi usio na maana.
Umewaona wamecheza wote watatu leo ?
Umeangalia mpira?Basi bado utabishaView attachment 1615207
Mmekutana na wavimba macho ..basi mnaona mna timu ..tukutane EPLNi dhahiri sasa Poch na Allegri watafute timu za kwenda!
Huyu Ole Hafukuzwi tena! 😉 😉
Hahahaha.Mmekutana na wavimba macho ..basi mnaona mna timu ..tukutane EPL
#CFC 💙💙💙
Aaha mumewaotea wavimba macho ..tukutane epl 😀😀😀
ukipigwa huwa unapotea kabisaAaha mumewaotea wavimba macho ..tukutane epl
#CFC![]()
Hii ndo ile Leipzig aliyotoka Werner? Basi mnayo kazi kubwa sana ..ngoja muende Deutsch next round. Mtakufa pale ..draw Tena? si mlitabiri tunakufa kwa Psg na Leipzig?
Mnakuwa wakwanza lakini 16 bora hamvuki ..asa ndo nini bro😂😂😂😂 bora mpambane muende hata EuropaNilisema humu United ndiyo timu favourite kushinda mechi zote kwenye hili kundi.
Wengi mlibisha sana humu kwenye hili kundi tunaweza qualify hata kabla mechi za group stage hazijaisha.
Mpaka sasa tunahitaji kushinda mechi mbili tu hasa tukiwafunga PSG na Liezpig tutakuwa tumejihakikishia kuwa wa kwanza kwenye group.
Nani wa kutupiga? Hii man u? Au nani ..sisi tunajua UEFA itatua London msimu huu.ukipigwa huwa unapotea kabisa
😂😂😂😂😂😂Kipalila kile, tena cha magotini.
Usijisifu.
Ukishaanza kuleta ubinadamu ujue kazi inakushinda.Mashabiki wa Man Utd inabidi tutambue ya kuwa haiwezekani kucheza zaidi ya players 11 uwanjani. Ligi tumechacgeza match tano tuu tunalalmika VdB hachezi?
Nilichokiona watu wanalalamika kuanza kwa James lakini wanatumia kivuli cha VdB kukosa minutes. Ingekua kaanza let say Rashy kushoto then Cavani upfront watu wasingelalamika VdB kukosa kucheza.
Wazee Ole naye ni binadamu, hawezi kuwa right kila siku na kuturidhisha mashabiki wote.
Kuna ligi, UEFA, Carabao na Fa naamini VdB atacheza tuu.
Msimu huu the lowest stage tutakayoishia ni semi finalMnakuwa wakwanza lakini 16 bora hamvuki ..asa ndo nini brobora mpambane muende hata Europa
Angalia tumemla mtu nne huko
Bado tuko pamoja na RBL
Kila la kheri RBL, OT ni shamba la bibi
#CFC![]()


sisi tumepiga mtu aliefika fainali na nusu fainali jiangalie mkuu