Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,695
- 32,446
AiseeTulio taka Van de Beek acheze, tunaona anacho kifanya hapo kati?
Yeye na Matic wanazingua.
Kocha ingiza Rashfod & Fernandez.
AiseeTulio taka Van de Beek acheze, tunaona anacho kifanya hapo kati?
Yeye na Matic wanazingua.
Kocha ingiza Rashfod & Fernandez.
draw Tena? si mlitabiri tunakufa kwa Psg na Leipzig?Hii Man u hii game itakwisha draw mkuu. Sioni kama mtamaliza salama.
RBL💪💪💪
wana shuti moja tu on target, tena shuti lenyewe hata halikuwa hatari, wana posses bila kutengeneza pasi za maana. wakati sisi hatuna possession kubwa ila tukifika golini kwao tunakuwa Hatari, isingekuwa kipa wao pengine tungekuwa zaidi ya goli 1 tunaongoza. na goli letu limetokana na Kuwa press, Fred kawin mpira kampa Pogba na kwenda kwa Greenwood.
Tulio taka Van de Beek acheze, tunaona anacho kifanya hapo kati?
Yeye na Matic wanazingua.
Kocha ingiza Rashfod & Fernandez.






namsikiliza Owen Hagreaves hapa yeye pia anaongea nilichoandika hapo.View attachment 1615174
Msome na huyu mkuu
namsikiliza Owen Hagreaves hapa yeye pia anaongea nilichoandika hapo.
Kaondoka na Mpira wakeHatrick hero..Rashford
We are on fireee.!!!GGMU![]()
Game imemkubali sana leo.Kaondoka na Mpira wake
Unaogopa timu changa hivi kuliko hata Instanbul Basekhir ?Wow! Wow! Wow! Hawa ndiyo nilikuwa nawaogopa kwenye hili group! Kudos Man Utd. Heko Rashford
Nilisema humu United ndiyo timu favourite kushinda mechi zote kwenye hili kundi.Wow! Wow! Wow! Hawa ndiyo nilikuwa nawaogopa kwenye hili group! Kudos Man Utd. Heko Rashford



