Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Angalia tumemla mtu nne huko

Bado tuko pamoja na RBL

Kila la kheri RBL, OT ni shamba la bibi
#CFC 💙💙
 
Solskjaer timu imezidiwa kakaa tu hata kupanda awape hamasa wachezaji wake anaangalia tu kama mtazamaji
 
Solskjaer timu imezidiwa kakaa tu hata kupanda awape hamasa wachezaji wake anaangalia tu kama mtazamaji
huo ni mfumo mkuu, tuna wa press wao, so far so good. tungekuwa tuna posses pengine sasa hivi tushapigwa za kutosha.
 
huo ni mfumo mkuu, tuna wa press wao, so far so good. tungekuwa tuna posses pengine sasa hivi tushapigwa za kutosha.

Mkuu hapa nakataa wao ndio wana tu press anagalia hatuvuki hata mstar wao tukiwa tumepiga pasi hata 5
 
Mkuu hapa nakataa wao ndio wana tu press anagalia hatuvuki hata mstar wao tukiwa tumepiga pasi hata 5
wana shuti moja tu on target, tena shuti lenyewe hata halikuwa hatari, wana posses bila kutengeneza pasi za maana. wakati sisi hatuna possession kubwa ila tukifika golini kwao tunakuwa Hatari, isingekuwa kipa wao pengine tungekuwa zaidi ya goli 1 tunaongoza. na goli letu limetokana na Kuwa press, Fred kawin mpira kampa Pogba na kwenda kwa Greenwood.
 
Back
Top Bottom