Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 11,083
- 12,325
Usiogope mkuu, we ni mzee mwenzetu hatuta kufunga nyingi.Huyu Ole akisikia kitumbua kinataka kuingia mchanga anakua mkali. Arsenal tujipange, hawa RB wana CB wa 80M na wamekufa tano sisi na Mustafi itakuaje?
Tutakupiga 3 tu.



