radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Msimu huu the lowest stage tutakayoishia ni semi final
Ole ndio zake hizo
Msimu huu the lowest stage tutakayoishia ni semi final
Itategemea na wachezaji watajitoa vipi pia.Ole ndio zake hizo
Bado mna kibarua kigumu sana ..naona kabisa mukipambana sana mutakuwa nafasi ya pili ..PSG hawezi kukubali kuwa chini yenu..Wale matege wa urusi?sisi tumepiga mtu aliefika fainali na nusu fainali jiangalie mkuu
Bado mna kibarua kigumu sana ..naona kabisa mukipambana sana mutakuwa nafasi ya pili ..PSG hawezi kukubali kuwa chini yenu..



kwa lipi sasa rb na psg washakufaHii Man u ambayo leo inacheza vizuri kesho inazingua? Me naona mukipambana sana basi 16 bora.Msimu huu the lowest stage tutakayoishia ni semi final
Kwani hakuna marudiano mkuu???kwa lipi sasa rb na psg washakufa
Leipzig sio timu kubwa.Kuna mtu humu ndani aliwahi kusema baada ya kipigo kutoka kwa Tottenham na sisi tutampata mkubwa mmoja wa kumpunguzia machozi nadhani ndo huyu sasa..
Ole kamfundisha tactics JulianYeah
5G
Sasa ni zamu ya Arteta kwenda kumkumbusha kuwa ngoma ya watoto haikeshiYeah
5G
Duh, mwaka Jana lakini ilifika semi final UCL. Everton hata kuingia makundi tu ya UCL sijui Mara ya mwisho ilikuwa lini.Leipzig sio timu kubwa.
Ipo kwenye levels za kina Everton.
Mkuu, mambo ya siasa yaishie kule kule, huku soccer tu.Jana tumecheza na chadema, ilibidi wale tisa au kumi. Msimu ujao tumwondoe Ole Guna tumlete Tony Pulis
Ligi anayocheza Leipzig ni rahisi kushiriki Champions League kuliko timu yenye uwezo sawa inayocheza Premier League. EPL ina timu bora nyingi ni ngumu kwa timu kama Everton kuingia top 4.Duh, mwaka Jana lakini ilifika semi final UCL. Everton hata kuingia makundi tu ya UCL sijui Mara ya mwisho ilikuwa lini.
Na Totenham mwaka jana alikula ndani na nje kwa Leipizg ambayo inatokea ligi laini, tena Totenham ikiwa ilifika top 4 ya ligi ngumu.Ligi anayocheza Leipzig ni rahisi kushiriki Champions League kuliko timu yenye uwezo sawa inayocheza Premier League. EPL ina timu bora nyingi ni ngumu kwa timu kama Everton kuingia top 4.
Mkuu, mambo ya siasa yaishie kule kule, huku soccer tu.